cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,367
- 188,066
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariii tupuuuNawashauri waache hiko wafanyacho hao wehu. Waende PM huko kwani hapa watasababisha uzi ufungwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariii tupuuuNawashauri waache hiko wafanyacho hao wehu. Waende PM huko kwani hapa watasababisha uzi ufungwe.
Shem ujue kusoma code. Ngoja aniegemee kifuani hapaKwahiyo imekuwaje sasa?? Mi nasubiri mjukuu mjue 😂😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahWalikua watatu ukawakimbiza, wenzie wapo wapi siku hizi? Huyu ndio peke yake kakosa soko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We nawe acha upuuzi wako. Nendeni PM huko mtasababisha uzi ufungwe kwa ajili ya ujinga wenu. Mnatuboa wengine na kutuhusisha kwa mambo yasiyotuhusu. Tumekula biriani tunataka tuweke picha tukiwa na furaha ya sikukuu ya idd alafu nyie mnaleta masuala yenu ya kifala humu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani amesemaa?Ulimtongoza hafu huku kumbe unamponda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani we kweli jinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We maamuma. Achana na haya mambo. Umekosa kupiga cha mtume nini leo? Leo ni sikukuu, acheni ujinga wenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Battle lenyewe halinogi anamix mambo haeleweki sijui kavimbiwa pilau [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umefanana na zile picha anazotupiaga Mwachi 🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani yamekuja juu ili tupewe ban [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeeh chanikaa ndiyoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shangazi wa Chanika bana [emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Haya shemShem ujue kusoma code. Ngoja aniegemee kifuani hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ww kunipiga mimi bado, wamenishindwa wenzio ww utaniweza?? We huogopi?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii selfika nnayo na natamba nayo, bila amsha zangu uzi unapoa.
Yani nipo na bado nitakuwepo, mi ndo head girl wao humu.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unataka ndio, hutaki ndio hivyo.!!
Kula pilau la idd utulie
Poa. BaadaeHaya shem
Ok..Umefanana na zile picha anazotupiaga Mwachi 🤣🤣🤣
Weka hata ya ku download...Umefanana na zile picha anazotupiaga Mwachi 🤣🤣🤣
Handsome!!
Sasa mimi shangazi nae mgonga sio mkubwa a hivo coca 😂 😂 😂Eeeeh chanikaa ndiyoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu utani wa ngumii wallah.Umefanana na zile picha anazotupiaga Mwachi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wee kwendraaa huko, akati tukunyema huyo ana afadhariiiiSasa mimi shangazi nae mgonga sio mkubwa a hivo coca [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa biriani lako linakuzuia nini kuliweka?? 😂😂😂😂We nawe acha upuuzi wako. Nendeni PM huko mtasababisha uzi ufungwe kwa ajili ya ujinga wenu. Mnatuboa wengine na kutuhusisha kwa mambo yasiyotuhusu. Tumekula biriani tunataka tuweke picha tukiwa na furaha ya sikukuu ya idd alafu nyie mnaleta masuala yenu ya kifala humu.