Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
Huwa nina kawaida moja simgusi nisiyemjua. Hivyo naomba niheshimu hiki ulichoandika hapaWe nawe acha upuuzi wako. Nendeni PM huko mtasababisha uzi ufungwe kwa ajili ya ujinga wenu. Mnatuboa wengine na kutuhusisha kwa mambo yasiyotuhusu. Tumekula biriani tunataka tuweke picha tukiwa na furaha ya sikukuu ya idd alafu nyie mnaleta masuala yenu ya kifala humu.