Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Siwezi tongoza mazni hapa public muambie manzi yako alete chats za PM, mi si mjinga Dogo...
Siwezi kuwa serius na picha za ku download..

And the good thing is... sidhani kama ni peke yangu nafahamu hio fake couple yenu na hizo drama zenu za ki ****...
Nguvu hata ya kutongoza huko inatokea wapi ikiwa unajulikana kama ulishaleft?
 
Hujui sasa useme tena nn, naona ulijua tumesahau ulivyokua nyuma
Dogo soko lako gumu sana
Hunielezi chochote we masikini....
Nikimuita mtu masikini, ujue nimekushusha daraja ya chini kabisa...

Bro tafuta pesa acha ku download picha na ku tu fool hapa eti una pisi kali.. Bob Marley alisema
You can fool some people some times but you cant fool all the people all the time...


HApa watu wana wa zoom tu wanawaona kama ma zuzu flani....

Tafuta pesa upate mwanamke mzuri uwe unapiga picha za uhalisia acha ku pretend Bro....
 
Huwezi futa message za PM, huwezi... naema leta hizo PM messages watu waburudike hapa...
Hujui kuna delete chats? Unatumia jf ipi?
Alafu wenzio walio hivyo wanajiamini, ww kwa nn hujiamini? Kwa nn hutaki kujikubali?
Pia nimekuuliza hao wenzako watatu sasa hivi wapo wapi?
 
Kuna siku moja hapa unajitia kum post manzi ako, eehhh, si ukatuma picha ya kudownload, nikaipimia halafu nikminya reli, silent, nimgetaka kukuaibisha hapa ingekuwa mtafutano....

Bro hebu achana na hizi issue, ntakuabisha hapa ubadili na ID...
Yani wewe unateseka na maisha ya watu, hivi hata muda wa kuoga unao?? Yan ww umuaibishe kantry abadili id?? We kweli kidampa msungo
 
Nguvu hata ya kutongoza huko inatokea wapi ikiwa unajulikana kama ulishaleft?
Ulikua unajitia kumuita huyo coca aku support, amekukataaa....
Inadhihirisha uongo wako, ukisha fake tu picha hapa... kila mtu anajua huna lolote....

Sasa mzee hebu nibariki na selfie moja ya ku download mchana wangu ukae vyema..
 
Bado hujasema, naona mna mipango mingi sana. Kazi iendelee
Kwanini umekubali siku zote hizo kugeuzwa jalala??? Tena na mtu unayemuita hajielewi??
Kantry unanichosha una lingine, ukiacha mipango yenu ya mtungo na genge lako??
Aisee kumbe mmeshafikia huko wana JF. Wanataka wakupige mtungo sio?
 
Back
Top Bottom