Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,504
- 95,030
😂😂😂😂 kumekuchaJambo linalonihusu huwa nalijibu, hiyo kukausha kwangu haipo ni utaratibu tu ambao nimeuweka
Wanaume hatuna hayo mambo? Sawa, lakini kwanza mm naamini vipi kama ww ni mwanaume?
Naonekana chenga kwa nani? Kwako au kwa nani?