Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilijua lazima utapoteana, ulianza kama mshauri mara kutongoza wakati upo group la walioleft, sasa hivi unaanza tena kushambulia uliokuwa unawasifia mwanzo
Siwezi tongoza mazni hapa public muambie manzi yako alete chats za PM, mi si mjinga Dogo...
Siwezi kuwa serius na picha za ku download..

And the good thing is... sidhani kama ni peke yangu nafahamu hio fake couple yenu na hizo drama zenu za ki ****...
 
kwanini unahamisha ugomvi wenu na kuleta kwangu?
Country mie sitaki bhanaa,
Nilikua namkumbusha tu huyu dogo, maana kaja anajifanya kidume na kasahau huko zamani allifanya nn yeye na wenzake. Si qio huyu alibadili na ID baada ya kustukiwa?
 
Si umuulize huyo coca yupo hapa... Bro una fail..
We na couple yako hapa ni kitukona picha zenu za kudainilodi... najua ina ku hit so hard lakini hamna namna :OMEGALAUGHING: :OMEGALAUGHING: :OMEGALAUGHING:
Wee nae uwage buzzy na mambo yakoo, kutwaa kuranda randa na yasiyokuhusu, ndo maana yanakukuta haya.

Em kua km mwanaume bhana, unaboaa!! Mxxxxiiiiieeeew
 
Kuna siku moja hapa unajitia kum post manzi ako, eehhh, si ukatuma picha ya kudownload, nikaipimia halafu nikminya reli, silent, nimgetaka kukuaibisha hapa ingekuwa mtafutano....

Bro hebu achana na hizi issue, ntakuabisha hapa ubadili na ID...
Hujui sasa useme tena nn, naona ulijua tumesahau ulivyokua nyuma
Dogo soko lako gumu sana
 
Stupid....
Mnajitia best couple ya JF kumbe picha za kudownload..... 😂 😂 😂 😂 😂
Lete zako halisi, halafu hiyo yako wewe hakuna sehemu tulijiita best couple jf, tumewavuruga eeh! Bado hamjavurugika vizuri 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom