cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,379
- 188,085
Uboo!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bagia zilikuwa Kama nini??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilishawahi kupika home, nyumba nzima walipovukwwa,
Afu wao tyuu huwa wanawaza vibayaa, mie bagia za mviringo sizitakagi.
Napenda hizi za mchongo, sasa wao ndo wanafananisha na uboo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]