cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,296
Ila uduguuunimewaza hiyo shape ya bagia nimeishia kucheka



mie ndo nazipenda bagia za muundo wa 1, hizi za duara sizitaki, Duara napikaga mabumunda afu kat kat naweka uwazi,





Ila uduguuunimewaza hiyo shape ya bagia nimeishia kucheka



mie ndo nazipenda bagia za muundo wa 1, hizi za duara sizitaki, 




Bagia Kama uboho??Uboo!!
Nilishawahi kupika home, nyumba nzima walipovukwwa,
Afu wao tyuu huwa wanawaza vibayaa, mie bagia za mviringo sizitakagi.
Napenda hizi za mchongo, sasa wao ndo wanafananisha na uboo.
![]()
Usijariii eng,Bagia Kama uboho??
Anyway Engineer, siku ukipika niambie niweke order mapema.
Hayo mambo bi Mkubwa alikataa kukata visheti shape hiyo
akasema Anza upya kukata hiv sitaki
![]()



ba tamu alifoka ile siku, had niliogopaa.Wanatuzuga tuhao waongoo usiwaamini, kaa nao kwa nywilaa
We ni Bro ila kuna muda unazingua sana Kaka...ba tamu alifoka ile siku, had niliogopaa.
Kisa tyuu bagia, afu alimwaga nlipata hasara. Aaaah
Mfyuuu 😂😂😂😂
Babu karibu bonyokwa ndio tunatoka kuswali sala ya iddMbona Babu yenu nimetulia kama Maji ya mtungi.
Sijapata mwaliko wa Eid Mjukuu 🤗
Haina shida ww tu na wenge lako 😂😂😂Bff nimestuka hiyo avatar yako...unanichanganya ujue
🤣🤣Huyo babu yangu ni hatari kwenye anga zake 😂😂😂
Umeandika uongo, Ila yameisha no more mjadala😂😂😂 Kwani hata namchokozaga basi!! Mwenyewe vikimpanda tyuu ananiibukia.!! Kuna comments akiziona lazima aje awashe moto 🤣🤣🤣
Ss hivi nimechoka sitaki hata kuiona id yake, mwanaume gani hana kifua. Mambo ya ndani anatoa mliyojadili wawili peke yenu.!! Km sio ugombanishi ni nini?? Na mimi nikianza kutoa yake aliyoniambia si itakuwa balaa humu!!
Ss hivi anatokea 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
We ngadu ntakupasua 😂😂😂😂Lamomy uduguu acha kumfokea shem, mapenzi ya gizani jau.
Kwani hukumuambia unabebwa na Bra?View attachment 3019227
Uongo uongoSijui shemejio na gang lake, wameanza vizuri katikati mshirika wake si kaanza kutoa mipango waliyopanga 🤣🤣🤣🤣
Yani nimecheka, ikabidi wazuge kujifanya hawajuani etii.!! Mapenzi ya JF 🙌🙌🙌🙌
Unazingua Bro..Umeandika uongo, Ila yameisha no more mjadala
😂😂😂😂 kwamba unatujua sana!!hao waongoo usiwaamini, kaa nao kwa nywilaa
Nazingua nn?Unazingua Bro..