Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,623
- 23,196
nikaribishe basi😌😋Eid Mubarak
😍😍😍
nikaribishe basi😌😋Eid Mubarak
😍😍😍
Tena hii inawahusu wala 🐖Sisi ni wakristo hio haituhusu
Hahahaha asanteeeee,,,ila kwenye kuongeza herufi apo😌🙌🏾Eid Mubarak
Mkwe ephen_ namuonea wivu mwanangu
Aaliyyah 😍😍😍
Ukhty Nuzulati Nzeze, Eid mubarak
Mzee wa kiko Grahams legend heshima yako mkuu, tupeane lokesheni tuje tupate nondo atleast..
Chinowana man Kapachino Naona umepotea potea au ndio mama la mamaaaa L kakuficha?? Au bado upo na Inni??
Ms R very soon inabidi kuna herufi r iongezeke hapo kwenye ms...
My brother ERoni Eid Mubarak brother, sikuoni Oni huku au ndio umehamia pm?? Hivi Yule mrembo alikuwa anaitwa husna muba huku yupo wapi?? Nimemmiss au ndio huyu Lamomy maana new id hizi unaweza rudia chaka la zaman..
BL nakupa mwaliko special karibu Eid, tumechinja hapa Kwa ajili yako.
Hilo lamsingi saana. Najitolea kuwa mshenga. Hilo jina halijakamilika.Hahahaha asanteeeee,,,ila kwenye kuongeza herufi apo😌🙌🏾
unaambiwa hawawez coz hawana uhakika kama ni mwanamke mimiHilo lamsingi saana. Najitolea kuwa mshenga. Hilo jina halijakamilika.
Likibaki hivyo mabazazi WA jf hawatokuacha salama
ni ile dhana ilozoeleka dunia hii ya jf so tunaishi nao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mabwakuuu. WoiiiiihSijui shemejio na gang lake, wameanza vizuri katikati mshirika wake si kaanza kutoa mipango waliyopanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani nimecheka, ikabidi wazuge kujifanya hawajuani etii.!! Mapenzi ya JF [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nani huyoo tukusaidie kumchokonoaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilitaka nimchokoze mtu [emoji16][emoji16]
Kweli had mie nasahaulika kwa mzee wa hall V, ibabidi nistaafu selfika sasa, nikaswampee kwingneee.Eid Mubarak
Mkwe ephen_ namuonea wivu mwanangu
Aaliyyah [emoji7][emoji7][emoji7]
Ukhty Nuzulati Nzeze, Eid mubarak
Mzee wa kiko Grahams legend heshima yako mkuu, tupeane lokesheni tuje tupate nondo atleast..
Chinowana man Kapachino Naona umepotea potea au ndio mama la mamaaaa L kakuficha?? Au bado upo na Inni??
Ms R very soon inabidi kuna herufi r iongezeke hapo kwenye ms...
My brother ERoni Eid Mubarak brother, sikuoni Oni huku au ndio umehamia pm?? Hivi Yule mrembo alikuwa anaitwa husna muba huku yupo wapi?? Nimemmiss au ndio huyu Lamomy maana new id hizi unaweza rudia chaka la zaman..
BL nakupa mwaliko special karibu Eid, tumechinja hapa Kwa ajili yako.
Eid Mubarak kwako pia Mkuu 🙏Eid Mubarak

Nipo Mkuu, Eid Mubarak kwako piaLegend upo? Eid Mubarak
Enz zile sikukuuu Kama hizi mlikuwa mnasheherekea vipi??
JazakAllah KhairEid Mubarak
Mkwe ephen_ namuonea wivu mwanangu
Aaliyyah 😍😍😍
Ukhty Nuzulati Nzeze, Eid mubarak
Mzee wa kiko Grahams legend heshima yako mkuu, tupeane lokesheni tuje tupate nondo atleast..
Chinowana man Kapachino Naona umepotea potea au ndio mama la mamaaaa L kakuficha?? Au bado upo na Inni??
Ms R very soon inabidi kuna herufi r iongezeke hapo kwenye ms...
My brother ERoni Eid Mubarak brother, sikuoni Oni huku au ndio umehamia pm?? Hivi Yule mrembo alikuwa anaitwa husna muba huku yupo wapi?? Nimemmiss au ndio huyu Lamomy maana new id hizi unaweza rudia chaka la zaman..
BL nakupa mwaliko special karibu Eid, tumechinja hapa Kwa ajili yako.
Tukiwapenda wazee wananuna 😂😂😂Kijana wa hovyo ktk 1 na 2, jamanii muwe makini ktk maghettoz ya ba tamu zenu.
Vijana wamevurugwa hadi akili ina stuck, mweeeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3019174
Asante mkuu kwa baraka za Eid,Eid Mubarak
Mkwe ephen_ namuonea wivu mwanangu
Aaliyyah 😍😍😍
Ukhty Nuzulati Nzeze, Eid mubarak
Mzee wa kiko Grahams legend heshima yako mkuu, tupeane lokesheni tuje tupate nondo atleast..
Chinowana man Kapachino Naona umepotea potea au ndio mama la mamaaaa L kakuficha?? Au bado upo na Inni??
Ms R very soon inabidi kuna herufi r iongezeke hapo kwenye ms...
My brother ERoni Eid Mubarak brother, sikuoni Oni huku au ndio umehamia pm?? Hivi Yule mrembo alikuwa anaitwa husna muba huku yupo wapi?? Nimemmiss au ndio huyu Lamomy maana new id hizi unaweza rudia chaka la zaman..
BL nakupa mwaliko special karibu Eid, tumechinja hapa Kwa ajili yako.
Ndo hapo sasa aunt, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukiwapenda wazee wananuna [emoji23][emoji23][emoji23]
Mambogani Sasa hayo