Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aaliyyah
Shangazi nifundishe kupikaa, ona navyotaka kufurushwa ghaflaa hivii? Wee huogopiii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1718606306715.jpg
 
Aaliyyah
Shangazi nifundishe kupikaa, ona navyotaka kufurushwa ghaflaa hivii? Wee huogopiii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3019226
🤣🤣🤣Si walisema mwanamke Tako jamni
Hata usiogope kata vizuri kiuno hata upike dagaa wanaelea ataona km roast tu
😂😂Aunt Yako mapishi hayajanisaidia nimeachwa 🤣🤣
 
Eid Mubarak

Mkwe ephen_ namuonea wivu mwanangu

Aaliyyah 😍😍😍

Ukhty Nuzulati Nzeze, Eid mubarak

Mzee wa kiko Grahams legend heshima yako mkuu, tupeane lokesheni tuje tupate nondo atleast..

Chinowana man Kapachino Naona umepotea potea au ndio mama la mamaaaa L kakuficha?? Au bado upo na Inni??

Ms R very soon inabidi kuna herufi r iongezeke hapo kwenye ms...

My brother ERoni Eid Mubarak brother, sikuoni Oni huku au ndio umehamia pm?? Hivi Yule mrembo alikuwa anaitwa husna muba huku yupo wapi?? Nimemmiss au ndio huyu Lamomy maana new id hizi unaweza rudia chaka la zaman..

BL nakupa mwaliko special karibu Eid, tumechinja hapa Kwa ajili yako.
❤️😍Nzuri ukaribia ndugu
 
😀😂Et mzee wa kale tuambie tujue kupika au kiuno huku nje mambo ni magumu🤣🤣🤣
Enzi zangu Mwaka 47 nilipenda zaidi kiuno kuliko mapishi

Hata ukipika mswepolezo nitaona umepika chakula cha KFC iwapo una kiuno kama Feni 🏃🙈
 
Enzi zangu Mwaka 47 nilipenda zaidi kiuno kuliko mapishi

Hata ukipika mswepolezo nitaona umepika chakula cha KFC iwapo una kiuno kama Feni 🏃🙈
cocastic umesikia mambo hayo wee pika tu fufua tu Hao dagaa auntyangu😂😂😂
Pika tu hizo chapat kaukau hata hawajali
 
cocastic umesikia mambo hayo wee pika tu fufua tu Hao dagaa auntyangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Pika tu hizo chapat kaukau hata hawajali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ba tamu mbona huwa anaipataa fresh, mie nikiamua kupika napika kweli, ila had nitakee.

Sio mtu anilazimishee, sahivi kazoea.

Nlipika bagia za mchongo, [emoji23][emoji23][emoji23] ule muuondo ba tamu akamwagaa, anasema "wee kichaa utakuja ufe vibaya afu kimasikhara"

Bagia zilikua km ubooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si walisema mwanamke Tako jamni
Hata usiogope kata vizuri kiuno hata upike dagaa wanaelea ataona km roast tu
[emoji23][emoji23]Aunt Yako mapishi hayajanisaidia nimeachwa [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaziii nimechekaa sanaa!! Msingi kiuno kwa bed eti eeeeh.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ba tamu mbona huwa anaipataa fresh, mie nikiamua kupika napika kweli, ila had nitakee.

Sio mtu anilazimishee, sahivi kazoea.

Nlipika bagia za mchongo, [emoji23][emoji23][emoji23] ule muuondo ba tamu akamwagaa, anasema "wee kichaa utakuja ufe vibaya afu kimasikhara"

Bagia zilikua km ubooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bagia zilikuwa Kama nini??

🤣🤣🤣🤣
 
Ila uduguuu 😂😂😂😂😂 nimewaza hiyo shape ya bagia nimeishia kucheka
 
Back
Top Bottom