Selfika na JF: Snap it. Show it

duh asante kwa kunikumbsha wifi anguπŸ˜‚πŸ˜‚sjakata almost 3 months
Whaaaaaatt.!! 🀣🀣🀣🀣🀣
Kipilipili dot com, wifi nyoka akiingia si atazama mazima??
 
Asante hivi wewe ni Ex? Best? Ama maana Selfika na hekaheka mpaka nasahau 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Location Bonyokwa... natia timu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Umeanza maswali magumu

Mimi kaka,
Lokesheni inasomeka bonyokwa Kwa kichwa.
 
Asante hivi wewe ni Ex? Best? Ama maana Selfika na hekaheka mpaka nasahau 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Location Bonyokwa... natia timu
Selfica haina maex wa kudumu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapa mimi peke yangu ndo ntatoboa, nyie mkipeana maneno ya mahaba mnarudiana chap
 
Selfica haina maex wa kudumu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapa mimi peke yangu ndo ntatoboa, nyie mkipeana maneno ya mahaba mnarudiana chap
Weee usiniuze, nyie ndiyo mnajuana wiki ijayo mahaba motomoto. Huyo ni wako wa kufa na kuzikana.
 
Weee usiniuze, nyie ndiyo mnajuana wiki ijayo mahaba motomoto. Huyo ni wako wa kufa na kuzikana.
Kweli sie tulipofikia baba Jeni bye bye πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haina kugeuka nyuma, ila nyie ndio hamuaminiki.!! Ila nimecheka yani tunagombana watu wametulia tuli hawachangii.!! Mmoja kajitokeza kamuunga mkono mbele kamkataa 🀣🀣🀣🀣

Kuna vitu vinachekesha sana, hii tabia sijaizoea selfika… hapa ilitakiwa wawe wanakazia na kuchochea
 
Nani anataka kuumbuka? Kesho tunawakuta babe kibao. Tunawangalia tu, kuumbuka mwisho mwaka jana 🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…