Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umeona sasa unavyotapatapa hujui ushike lipi?? Unaanza kusingizia iphone kwani sele kakununulia simu gani??
Matumizi mabaya ya msambwandwa huo dada bonge
Ww umetoka na mapedejee wa JF alafu bado unatumia itel kweli?? Aaaah udugu hapana hiyo haiko sawa hata kidogo

Inamana hata yule mwanaume uliyesema coca kakuibia naye kashindwa kukunulia iphone??

Nimelia sana 🥲itel tena jamani
 
Hivi nyie watu mko serious kweli ama mpo kwenye utani


Unajua hai-make sense eti niwe natoka na mrembo mmoja hapa, then nikamwambia huyo mrembo anitafutie mrembo mwingine niwe natoka naye.

Hivi inawezekana kweli?

Sijui lengo lenu kwenye hizi mada zenu zisizoisha humu.


Hata kama huwa tunataniana ila please naomba mniheshimu japo Kwa Umri wangu.
stow away upite huku na mke mwenza Jagiya
 
Mimi mlikuwa mnanishangaza kuimba bwana ana hela et tumemwiba?
Wakati mimi nilikuwa nafanya mission ya kumjua baada ya Yna2 kuninyima picha yake.
Bwana ana hela na Antonia anapost picha camera 1/10. Kwamba miaka yote hiyo kashindwa kutunza za kuhongwa achukue hata ka A series?

Uzuri aliandika mwenyeww kwamba alikuwa ana hasira na uchungu baada ya kuachwa. Ila karudiwa. Bado utulivu hamna, ana shida gani?
Aseme wanawake wenzake tumsaidie

Mmuachieni Muongozo wake awe na amani jamani
Acheni kumuonea wivu
 
Back
Top Bottom