Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,760
- 209,198
UsinizoeeLeo side chick anacheka na lamomy š¢
UsinizoeeLeo side chick anacheka na lamomy š¢
Eeh ilibaki laki 9, usisahau na ya kutolea.Unajua dawa zangu ziliisha tangu Juzi, fanya kunichukulia hapo Kairuki hospital
Hivi ilibaki laki 9 eeh š š
Kweli kuishi kwingi kuona mengi š
š¤£š¤£š¤£š¤£Lakini kwanini ni muongo
š¤£š¤£š¤£ me bado nalia nae hapo tu
Ndivyo lilivyo mahiiiii š¤£š¤£š¤£Kwahiyo umeamua kutulegezea jichoššš?
Hivi mmeshawahi kuwaona Wazee wa Umri wangu jamani. We can't afford even to have a single shot on target
Sijawahi kula Mjukuu hata moja, I swear
Kuweni na huruma na Wazee š„²
Aikooooo! Njoo na utimamu wa akili, not programmedUsinizoee
Hahaha.........thanks Mjukuu, lazima nikurithishe yale mashamba yangu ya Dumila šEeh ilibaki laki 9, usisahau na ya kutolea.
Hela ya Dawa unganisha hapo hapo
Kwanini yule babu mwenzake alienda kumwambia mm nna stress nimezalishwa na mzungu š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£
Kwanini aseme atanipa miRioni af anitumie Raki? Sijapenda
Nani kama babuuuuuš„°š„°Hahaha.........thanks Mjukuu, lazima nikurithishe yale mashamba yangu ya Dumila š
Hebu tuone yoteššNdivyo lilivyo mahiiiii š¤£š¤£š¤£
Nuzulati my sweetheart šš, nibebe uka nifichešš.chat n picha
Screenshotin msambaziane
Sawa ššš
Hahaha...........ngoja nikae kikao na Wazee wenzangu tuongeze kiasi kutoka laki 1 hadi 5 sasa šTunaangalia miamala babu
Wazee watamu haswa wawe sio wabahili
Kumbe uko hapo, haya sawašš¤£ ndo njia yangu hio natumia ku hack loneliness idodomia
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Kwanini yule babu mwenzake alienda kumwambia mm nna stress nimezalishwa na mzungu š¤£š¤£
Huu uzi kuna watu ni wa kuchapa fimbo
Hahahahaha...unahisi wanatania ?Nimewanawa kumbe mpo serious sana humuš