Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tena ana takiwa avunge tu, as if nothing happened.
👉Wanasema don't give a shit about anything, that doesn't make you wish to die.
Humu ndani people are bitter as AF
No matter how patient you are ..
You will just get pissed off .

They don't give a damn what happened and they will choke you to core .
 
Mbona Juzi mi Mtu kani tukana na siku mjibu.
Akati kisa ni kidogo Sana, na aliye mtuma namjua, mpk lengo najua.
 
😂😂😂😂 kumbe kinachokuuma mimi kuwa msemaji wa wake wenzio??
Halafu mimi sio shortiiiii sawa?? Mimi size ya kati, shortiiiiii ni Selee anayekupanda ngongoti

Wewe sikuandami ila nakutibia kichaa chako, ujue mi uduguu wako lazima nikuweke sawa wewe bonge nyanya 😂😂😂😂

Mimi video nilishaweka mwenzio na nakurudishia tena hiyo uangalie kwa makini

wachaa weeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Kweli uko supa toluuu na fuluuu mshepuuiii ndiooooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Danganya hao Makinda wenzio humu we know you veri welooooooo!

Namnaa hio uzi unanogaaaa sio kujadili ujinga ujinga tu !

Afu mbona picha nyingine uko pimbi nyingine toluuu ni zakoooo hizo kweli???

Iphone walichofanya Sijapentaaa haioneshi kama ni fb Instagram ama laah!
Kumbe inakuuma kuitwa kapinnchi?? Narudia tena mie sio bwanyenyeee bonge
 
Umeona sasa unavyotapatapa hujui ushike lipi?? Unaanza kusingizia iphone kwani sele kakununulia simu gani??
Matumizi mabaya ya msambwandwa huo dada bonge 😂😂😂😂
Ww umetoka na mapedejee wa JF alafu bado unatumia itel kweli?? Aaaah udugu hapana hiyo haiko sawa hata kidogo 🤣🤣🤣🤣

Inamana hata yule mwanaume uliyesema coca kakuibia naye kashindwa kukunulia iphone?? 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom