Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,479
- 203,143
Unamuumiza udugu wakoUmeona sasa unavyotapatapa hujui ushike lipi?? Unaanza kusingizia iphone kwani sele kakununulia simu gani??
Matumizi mabaya ya msambwandwa huo dada bonge ππππ
Ww umetoka na mapedejee wa JF alafu bado unatumia itel kweli?? Aaaah udugu hapana hiyo haiko sawa hata kidogo π€£π€£π€£π€£
Inamana hata yule mwanaume uliyesema coca kakuibia naye kashindwa kukunulia iphone?? π€£π€£π€£
#kudate suala 1
Kuhongwa vinono suala lingine
πππ

