Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂😂 wala babu simfichi ni grahms, ulikuja kuniambia kwamba ananipenda eti nimtafute wakati ulisema Lenie kakuibia babu.. na aliahidi kumpa million, mwishoe akampa laki…
Na aliyekuunganishia babu gramhs ni coca 😂😂😂😂😂

Kaka Miongozo unaibiwa ulivyokuwa haupo ulikuwa unasaidiwa nikwambie wala sio km anavyokuaminisha tukunyema lako kwamba alibaki bila mtu ni muongo 🤣🤣🤣🤣

Uduguu hi 👋
Hivi nyie watu mko serious kweli ama mpo kwenye utani

Unajua hai-make sense eti niwe natoka na mrembo mmoja hapa, then nikamwambia huyo mrembo anitafutie mrembo mwingine niwe natoka naye.

Hivi inawezekana kweli?

Sijui lengo lenu kwenye hizi mada zenu zisizoisha humu.

Hata kama huwa tunataniana ila please naomba mniheshimu japo Kwa Umri wangu.
 
Wee video yako iko wapi?? Mbona huweki tuone umekomalia wenzio waweke video??
Halafu ukisema shortiiiii ujue unamtukana anayekukaza kaka Sele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Si unajua mumeo sele wa mbosso kwa kimo??
Uduguuu unajitukana ujue [emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi nyie watu mko serious kweli ama mpo kwenye utani

Unajua hai-make sense eti niwe natoka na mrembo mmoja hapa, then nikamwambia huyo mrembo anitafutie mrembo mwingine niwe natoka naye.

Hivi inawezekana kweli?

Sijui lengo lenu kwenye hizi mada zenu zisizoisha humu.

Hata kama huwa tunataniana ila please naomba mniheshimu japo Kwa Umri wangu.
😀😀😀 sema we kwa kukataa me nakupa 10/10
 
Weka video sasa mbona unapiga domo tupu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ww unajiamini ila video huweki, leo utakosa maziwa ya kumnyonyesha mtoto ujue [emoji23][emoji23][emoji23]

Mtoto ni wa nani sasa ?wa miongozo ?
 
Back
Top Bottom