Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Oyooooooo!! Wambea wenzangu kumbe Tin mjanja buana aliwalia sate ila waliishia kula kwa macho.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anasema waliotoa walitoa tu, mcity oyeee!!
Tin ww sio mjinga ni mjanja km mibabu yenye wajukuu haitaki kutulia na visate vyao kwann usivichune ebooh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Halafu Tin kuna kitu unakizuia sana.. hebu funguka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasemajeee, umevuka viwango vya FBI na CIA.
 
YNWA🔥
 

Attachments

  • IMG_20240225_212732_624.jpg
    IMG_20240225_212732_624.jpg
    2.3 MB · Views: 7
  • IMG_20240225_212717_731.jpg
    IMG_20240225_212717_731.jpg
    2.2 MB · Views: 6
[emoji1787][emoji1787]
Hahaa jamani wewe dada [emoji28][emoji28]
Eeh Mimi siwezi maneno Yani ngoja niongee kwa kutulia .

Sio wababu bhana , hao wakaka ni vijana kabisa [emoji28]
Hayaa vijanaa tena wakaka, watajee haraka na sie tuwarukie, tukapate sate sauzand.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haya kaa utulie unisimulie mi niko hapa nasubiri mwaya mdogo angu mchwitiiii Tin….
Hao ni vibabu bana, vijana wa humu wote wanahonga afu tatu na wanakuja kukufungulia uzi juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hao vibabu ndiomana hata hawakulalamika wenyewe wao wanataka uwasafishe tyuuu.!!
Hao wakishika nyonyo kwa sate wanaridhika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu mi ninakoendea ntapigwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kivumbiiii leooo.
 
Vyombo niliwapelekea wake zangu wanne[emoji1787][emoji1787] elewa neno wake wanne
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wote hao? Sasa si ungewachukua wachague wao, kumuita tin akusaidie, kwioooo??
 
Hehee makubwa hao vijana waongeze dau wafike hata 50K
Wawazidi wazee (jokes)

Ila jeifu lol humu ndani ni [emoji91]

Mimi sio muongeaji dear hapa yenyewe macho yanauma usingizi .

Vitu vingine nishasahau ili kujiponya nafsi .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Coca njoo shemeji anakukana hadharani leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu umepewa talaka wahi uje unisaidie kulia [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Ila watu mapashkuna khaaa!! Kwahiyo mnaenda pm kumsema mtu utafikiri mnamjua au huyo coca mnamjua??
Kweli JF watu wanayaweza sio kidogo [emoji23][emoji23][emoji23]
Shem ungewaambia “ndio na ww njoo nikukaze” ili watumie muda wao vzr humu JF shubhamiti hao [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuhusu mie watasema waooo.
Huo mda cna mbonaa, sio yeye mjep tyuuh, kuna wengine pia.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muache afunguke yeye mjep, mie mtazamajiiii.
 
Oyoooooooo!! Vijana kuna ujumbe wenu hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila vibabu vina sifa yani kiss vinatoa sate whooooufff [emoji23][emoji23][emoji23]
Vijana ongezeni kasi vibabu vinashambulia sana karibu na goli lenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zinauma kwa kuchekaaa.
 
Achana na haya mambo Tin cz hata mim pia husema watu tena kwa mabaya na mazuri. Sisi sote ni binadamu na wadhaifu.

Lakini kama umeamua kutojihusisha kwa sababu ya mtu unaemzidi akili ccy unakosea, raha jipe mwenyewe.
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....!

Uko na akili mingi sawa sis!


Ye akuje tu tuendelee kusemana iwe nyuma ya pazia iwe huku jukwaani mwisho wa siku mafuta yatajitenga na maji tu!
 
Hizi ids mpya siziamini kabisa sijui kwanini!!

Kama ni wewe tins uwe na amani tu mamy karibu sana tuendelee kuselfika!
Ids mpya ni nyingi sana sema huyo ni Tin kweli, Ila kuna zingine unaweza shangaa za makaka zetu zinawekewa picha za warembo😂😂😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Vijana huyu beki kawauza inaonekana kakata tamaa, vibabu vinaendelea kujiokotea point za buree na mabinti wamegoma kupewa afu tatu…. Namuona kijana kaachia goli babu afunge goaaaaaaalllll

Vibabu 2-Vijana 0
Haya mpira unaendelea Half american anatoa pasi ya 5k naona babu Grahams anaizuia kwa 20k fasta…. Namna gani paleeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekua Mpenjaaa uduguuuu? Mara hii?
Sikuweziiiiiiii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Vijana wanazidi kuelemewa pambano bado ni kali sana….
Binti kaamua kuwapa ushindi vibabu, haya namuona huyu kijana shabiki wa Fally Ipupa Charles kilian anamwaga kwacha za Zambia km 200 hunded sawa na elfu 20 na kitu hivi ya kitanzania….. anataka kuokoa goli upande wa vijana….. hebu subiri tuone km atafanikiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mechi bado inaendelea ila vijana wako hoi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee uduguuuu?? Nn hikii??
 
Ngoja nikalale mpira utaendelea kesho mtangazaji anaenda kuhudumia ndoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utaachishwa kazi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rudi utangaze mpira, DSTV itapata hasara.
 
Back
Top Bottom