Hatuna gubu tajiri🔥💚💛Hahaha au tunagubuu sanaa
Haiya nipo pitaTulia hapo hapo usitoke mahi
Napita naked 🧍♀️
Tin mlokole hana hizo shostizo wangu bana, halafu mi nachangamsha genge hapa….
Yule binti Sayuni hizi mbungi zetu haziwezi kabisaaa…!!





Kabisa arudi maneno kawaida bana, Tin rudi shosti ila punguza kuwajua watu nje ya JF uenjoy life la humu![]()




Kijoraa kipo pambeee,Sasa usitoke kaa hapo hapo, kijora cha sale ya kufatia vyombo si unacho??
Mwambie Mjep akupe risiti mengine atuachie tunamaliza wenyewe![]()



😂😂😂 nipo hapa nimekuwahi leoUko hapa nikublec kityuuh,![]()
Haya nipe udambu dambu 😋😋😋Niko hapa mie mbona,![]()
Karibuuu sanaa DA Tin, mie mbona sina kinyongoo.Greetings to you all
Ladies , I appreciate your concern and grateful for the advice .
Thank you so much .
I can say Nina ka moyo mwepesi ..
Sidhani hata Nina nguvu za kurudi humu .
I'm just so gullible ..
Lovelovie
Mahondaw
@ lamomy
cocastic I'm sorry lakini sijakusema .
Samahani kwa yote .
Na pia sina shida kabisa na wewe na siwezi kukuonea wivu . Maana hata sikufahamu .
Kwa wale wadada wote inavyosemekana nimewachamba naomba radhi ..
Tins ....




Oyooooooooo.!!! Tin njoo bana km nguvu huna ntakupa Mo energy shostizo 😘😘😘Greetings to you all
Ladies , I appreciate your concern and grateful for the advice .
Thank you so much .
I can say Nina ka moyo mwepesi ..
Sidhani hata Nina nguvu za kurudi humu .
I'm just so gullible ..
Lovelovie
Mahondaw
@ lamomy
cocastic I'm sorry lakini sijakusema .
Samahani kwa yote .
Na pia sina shida kabisa na wewe na siwezi kukuonea wivu . Maana hata sikufahamu .
Kwa wale wadada wote inavyosemekana nimewachamba naomba radhi ..
Tins ....
😂😂😂😂😂 Tin uzuri amekuja atuambie vyombo vipo kweli?Kijoraa kipo pambeee,
Risiti tunaikuta huko huko
Oyooooooooo.!!! Tin njoo bana km nguvu huna ntakupa Mo energy shostizo
Njoo tuendelee kuwadiscuss wale vibabu wa 45s si unakumbuka shogare
Mi nimekumiss ndiomana nimekuchokonoa urudi hapa….
Halafu usiogope maneno ya watu wasiokulipia bills sawa?? Njoo bana, halafu eti mjep alinunua kweli vyombo??
Halafu hii id nyingine mbona..?!! Tin unanichanganya sasa?? Ile ya siku ile iko wapi??



huna jambo dogo kabisaaa uduguu.