Yani Asante sana ..Achana na haya mambo Tin cz hata mim pia husema watu tena kwa mabaya na mazuri. Sisi sote ni binadamu na wadhaifu.
Lakini kama umeamua kutojihusisha kwa sababu ya mtu unaowazidi akili ccy unakosea, raha jipe mwenyewe.
Hii ndo adhabu nzuri nayotakiwa kuipata baada ya kuwa mjinga kiasi kile .
Muda mwingine inafaa kujipa adhabu mwenyewe baada ya kushindwa kutumia akili na kutumia hisia .