Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Lamomy
IMG_20230922_190611_811.jpg
 
Mimi sikucheki bana, kwanza ww ni super tall wifi yangu 😂😂😂😂
Halafu mpk leo sijawahi kujua ulikuwa unaniita wifi kwa nani??? 🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂Shida hii picha bn macho yameshakwiva
 
Weeee!! Kumbe?? 😂😂😂😂
Huyo shemeji yangu kwa coca bana
Sema huyo kaka ako katuudhi, kuna vyombo vyetu vilinunuliwa havijafika kwa bi mkubwa coca 🤣🤣🤣
Kesho naweka mafuta kirikuu tunavifata
Achaneni navyo mtapata vipya from Uturuki😂😂😂
 
Back
Top Bottom