Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,122
- 55,086
😄😄Wazee wa humu kumbe wanatoa 30k? Na wadada wanaona market value yao ndo hyo🤣🤣ngastuka😂😂😂 Vijana huyu beki kawauza inaonekana kakata tamaa, vibabu vinaendelea kujiokotea point za buree na mabinti wamegoma kupewa afu tatu…. Namuona kijana kaachia goli babu afunge goaaaaaaalllll
Vibabu 2-Vijana 0
Haya mpira unaendelea Half american anatoa pasi ya 5k naona babu Grahams anaizuia kwa 20k fasta…. Namna gani paleeeee 😂😂😂😂