Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijaamini umzaniaye ndiye kumbe siye [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ncheke tena

Penseli yule msenge kasema alikua na plan ya kunila?? Khaaaaaaa!!! Eti napenda sana maokoto itakua nahongwa mno [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jamani hili Pdf ni la moto inshort ni fireeeeee

Penseli 4 Nimekusamehe ila zile pic za mademu mnavyoponda [emoji119][emoji119][emoji119]
Bahati yenu maua yangu mmenipa km Kantri hajakosea kachukua chuma
 
Humu ishajulikana sababu ni mambo ya kushea mi bolouuuu sasa najiuliza niwachafue kwakipi hasa na kila kitu kilikua wazi humu hakuna asiejua ile skendo??? Kwamba mpaka waleo mie nawachafua nawachafua kivepeee yani????
Hiki ndicho ninachotaka kufahamu hasa kutoka kahuyo mwanahabari na msemaji wao mkuu!
Duuuuh!!! Hatariiii
 
Imekua too much humu!! Shida ni kuingilia yasiyokuhusu na kunikomalia kama nawe tumeshea bwana vile!! Hao wanawake zako chanzo inasemekana niyule bwana! Haya wewe umesema nawachafua Naomba uniambie nawachafuaje???
Ulikua unaniita mchawi kwa kukurupuka tu bila kutumia akili sasa ngoja nikuoneshe mchawi na wengine ni watu wazima humu watajia mchawi nani hapa!!

Wait hapohapooo Usitoke!!
Kimewakaaaaaaa!!!! [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom