Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,710
😂😂😍Hii imeenda hii madam😍
😂😂😍Hii imeenda hii madam😍
Sawa unakula bataVya kazi ni kazi vya umbeya ni umbeya sana . Tu niambie
[emoji23][emoji23] hayo ndio unapenda sasa,
Nyingine madamPicha Kwa waliopitwa asbh😅☺️
[emoji2][emoji1781][emoji1781][emoji1781][emoji1781][emoji1781] Nenda PM cutiii nimekutumia kila kitu sijaficha kitu [emoji851][emoji851][emoji851][emoji851].
Participants utawaona sasa sijui na ww utasambaza au ni vipi.
Its up to you 🫠🫠🫠🫠🫠🫠🫠🫠🫠. Usiseme hujaona
And am sorry kwa kusambaza picha yako I'm sorry [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17] ilikuwa bahati mbaya sema we zisome chats za pande zote utaelewa vyedi. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Hizo ulizopewa zilizofichwa fichwa achana nazo uone mtandao mdogo tunao wa discuss humu. Sema hii id siku hizi haina ishu ndo maana sipo nayo hewani sana. [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
🥰🥰🥰❣️Picha Kwa waliopitwa asbh😅☺️
Alhamdulillah 🙏
Yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyumbani bado nipo sana wee
Meme yetu waoga wa maishaView attachment 2728517
Ungeniambia ile inshu ningekupenda ila mmh wewe sio ukanifichaSawa unakula bata
Kula bata ila deni langu hunilipi aah uhmm
We unakula raha
Ni nina njaa kale kadeni kangu hunilipi aaah
Aaah aaah kuna kesho
Ujue unaniburuga yelelee
We si unanivuruga sawa
Ujue unaniconfuse yelelee
Acha tu nile bati sawa
Sisi sio milima tutakufana
Sisi ni people tutaonana
Si sio visima tutasomana
Tukiwa kama people kitaumana umana
Intelligent businessman 😅😅😅
Weka hapa hilo pdfNiache ncheke na Pdf langu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nakuja, basi unipende ..Ungeniambia ile inshu ningekupenda ila mmh wewe sio ukanificha
Nimepitwa Tena😭
Niambienakuja, basi unipende ..
mjengoni nakusubiriNiambie
Mimi nipo serious wewe unataniamjengoni nakusubiri
Kilitokea nini Mzee na yule Binti ile jana?nakuja, basi unipende ..
Weka hapa hilo pdf