Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,879
- 147,378
Si mtaongeza tatizo,maana___Kumbe shida ndo hiyo, kwa mfano tukiongeza hiyo miti iwe yakutosha, isiwe ya kushare tena hili tatizo litaisha humu ??? [emoji23][emoji23]
Si mtaongeza tatizo,maana___Kumbe shida ndo hiyo, kwa mfano tukiongeza hiyo miti iwe yakutosha, isiwe ya kushare tena hili tatizo litaisha humu ??? [emoji23][emoji23]
Humu ishajulikana sababu ni mambo ya kushea mi bolouuuu sasa najiuliza niwachafue kwakipi hasa na kila kitu kilikua wazi humu hakuna asiejua ile skendo??? Kwamba mpaka waleo mie nawachafua nawachafua kivepeee yani????
Hiki ndicho ninachotaka kufahamu hasa kutoka kahuyo mwanahabari na msemaji wao mkuu!
Hapana mkuu kwangu hio ilishapita muda mrefu sana nashangaa mpaka sasa huu ujinga unaendelea na kuendelea kunichafua humu tena wananichafua na kunitag kabisa! Vitu anaongea mwingine nahusishwa Antonnia!Kumbe shida ndo hiyo, kwa mfano tukiongeza hiyo miti iwe yakutosha, isiwe ya kushare tena hili tatizo litaisha humu ??? [emoji23][emoji23]
Hapana, zinakuwa siyo za kushare tena, kila mtu apate [emoji56][emoji56]Si mtaongeza tatizo,maana___
Nini kilishapita dada, mimi hata sielewi kwakweli! Hiyo txt yako ndo imenipa mwangaza wa tatizo lililotokea humu mpaka kijiwe kikavurugika.Hapana mkuu kwangu hio ilishapita muda mrefu sana nashangaa mpaka sasa huu ujinga unaendelea na kuendelea kunichafua humu tena wananichafua na kunitag kabisa! Vitu anaongea mwingine nahusishwa Antonnia!
Kwanza nani anashida sana nahizo mboroou sasa??? Nina uhakika kila mmoja humu anamiliki yake what's the heck with hizi drama zote Antonnia Antonnia Antonnia!!Si mtaongeza tatizo,maana___
Kila mmoja ana anayomiliki mnywanii binafsi nashangaa sana haya mambo!Hapana, zinakuwa siyo za kushare tena, kila mtu apate [emoji56][emoji56]
Unamchukia mtu bila sababu???? Lazima kutakua na chanzo!!!
Usipende kuingilia vitu usivyokua na uhakika navyo ailimradi watu wamekujaza maneno tu huko wewe unakurupuka!!
Jana uliniambia mie nawachawia nawachafua watu humu Naomba uniambie nilichowafanya hao watu wako! Hilo tu
Siyo kweliii mnywaniii mawardat hamiliki yoyote ndo nataka nimmilikishe [emoji23][emoji23]Kila mmoja ana anayomiliki mnywanii binafsi nashangaa sana haya mambo!
Kweli,wasamehe tu, fanya kupotezea,Kwanza nani anashida sana nahizo mboroou sasa??? Nina uhakika kila mmoja humu anamiliki yake what's the heck with hizi drama zote Antonnia Antonnia Antonnia!!
Mambo ni mengii sana yanii weee pitia post za nyuma usichoke utaelewa vizuri kwa kuanzia anzia hapa !! Hii ni post kutoka kwa National Anthem!! Akiniongelea mimi!!Nini kilishapita dada, mimi hata sielewi kwakweli! Hiyo txt yako ndo imenipa mwangaza wa tatizo lililotokea humu mpaka kijiwe kikavurugika.
Mambo ni mengii sana yanii weee pitia post za nyuma usichoke utaelewa vizuri kwa kuanzia anzia hapa !! Hii ni post kutoka kwa National Anthem!! Akiniongelea mimi!!
Tatizo unaongozwa sana na hisi kuliko uhalisia. Hoja ilikuwa kwanini watu imekuwa wanachafuana sana .. swala la kuzushiwa kila mtu kazushiwa na kuchafuliwa kwa namna mmoja ama nyingine.. Haya nani afanya hayo kwa watu ? Tume mpata Penseli 4.. na kuna mwingine huyo Rabi.. na pote huko wengi wamechafuliwa kwanini hawajapani sana kama wewe ? Maana kuna watu wameambiwa wana ukimwi wengine mafigo etc.. kwanini wamekaa kimya ila wewe ulie pewa sifa nzuri umekuwa msatari wa mbele kushambulia ?Mambo ni mengii sana yanii weee pitia post za nyuma usichoke utaelewa vizuri kwa kuanzia anzia hapa !! Hii ni post kutoka kwa National Anthem!! Akiniongelea mimi!!