Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na wewe ukataka unichome na ile comment yako
Nikakukwepa kiaina
Sitaki tabu na watu[emoji16]


Sema nilihisi Kuna kitu hakipo sawa pale.

Na nilikuona ulivyochange gia juu kwa juu!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilitaka kukubanisha vizuri ukakwepa fasta
 
Kabla hujaondoka tuambie yule mliyekua mnachat nae mana tumekuona wewe tu!! Na kwann ulimtumia pic yangu??
😃🤥🤥🤥🤥🤥 Nenda PM cutiii nimekutumia kila kitu sijaficha kitu 🤓🤓🤓🤓.


Participants utawaona sasa sijui na ww utasambaza au ni vipi.

Its up to you 🫠🫠🫠🫠🫠🫠🫠🫠🫠. Usiseme hujaona

And am sorry kwa kusambaza picha yako I'm sorry 😔😔😔😔 ilikuwa bahati mbaya sema we zisome chats za pande zote utaelewa vyedi. 😁😁😁😁😁.

Hizo ulizopewa zilizofichwa fichwa achana nazo uone mtandao mdogo tunao wa discuss humu. Sema hii id siku hizi haina ishu ndo maana sipo nayo hewani sana. 🤭🤭🤭
 
[emoji2][emoji1781][emoji1781][emoji1781][emoji1781][emoji1781] Nenda PM cutiii nimekutumia kila kitu sijaficha kitu [emoji851][emoji851][emoji851][emoji851].


Participants utawaona sasa sijui na ww utasambaza au ni vipi.

Its up to you 🫠🫠🫠🫠🫠🫠🫠🫠🫠. Usiseme hujaona

And am sorry kwa kusambaza picha yako I'm sorry [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17] ilikuwa bahati mbaya sema we zisome chats za pande zote utaelewa vyedi. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

Hizo ulizopewa zilizofichwa fichwa achana nazo uone mtandao mdogo tunao wa discuss humu. Sema hii id siku hizi haina ishu ndo maana sipo nayo hewani sana. [emoji2960][emoji2960][emoji2960]

[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] Nimekusamehe
Ngoja nikajionee kila kitu mie [emoji2222][emoji2222]

Sema kwa Jack uongo sijatoka nae, Kantri [emoji736]
Siku nyingine uje nikupe ukweli mbona me sinaga longolongo!! Afu pic uliosambaza kali nimepata piem nyingi sana za kutumiwa vocha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom