Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,346
Basi mwage huyo mchepuko kati yenu ataenda mmoja au wote chagua🥴🥴🥴🥴 nitunzie wanangu , usiwale nyama basi basi
Basi mwage huyo mchepuko kati yenu ataenda mmoja au wote chagua🥴🥴🥴🥴 nitunzie wanangu , usiwale nyama basi basi
Kwani ku date DHAMBI???hana power ya kudukua huyo JF.. anacheza viini macho tu.. kwa kulaghai mtu hadi anajaaa kingi.. kwenye kundi la watu ku date nitoe sihusiki ..
Hamna udukuaji..wanatangaziana..Aisee,
Basi Dunia haina siri,na watu hawana siri,na siri hakuna siri,
Co nilikuwa nashangaa watu mnadate inakiwaje unatangaza kuwa unadate na mfulani??
Sasa nimejua kumbe kuna udukuaji![]()
😒😒😒 mchukue mchepuko tu.. mie bado napenda kuishi banaaBasi mwage huyo mchepuko kati yenu ataenda mmoja au wote chagua
unadate vipi na ID.. mtu humjui hakujui.. huoni kuwa ni hatari sana hiyo .. mtaani hawajaisha pia..Kwani ku date DHAMBI???
Kumbe ni utoto tu,Hamna udukuaji..wanatangaziana..
Anafaa kabisa tena nimekuandikia kazi ya leo😒😒😒 mchukue mchepuko tu.. mie bado napenda kuishi banaa
Aisee huyu itakuwa wa kutengenezwa
mtanibakishia basi hata ka mguu eeeh 😒😒😒Anafaa kabisa tena nimekuandikia kazi ya leo
Umepewa adhabu kaa kwa kutuliamtanibakishia basi hata ka mguu eeeh 😒😒😒
Mie na wewe tenaaa.. niibie hata ka kidole ka mwisho tu 🤗🤗Umepewa adhabu kaa kwa kutulia
Na ile grandeur, Ni gari ya kampuni ipi??
Hiyo ID inamilikiwa na mtu na mtu mwenyewe kama wewe,unadate vipi na ID.. mtu humjui hakujui.. huoni kuwa ni hatari sana hiyo .. mtaani hawajaisha pia..
Ni kweli, huo ni msimamo wangu binafsi.. na wala sipingi wanao date na kuwa na mahusiano.. ni life style tuHiyo ID inamilikiwa na mtu na mtu mwenyewe kama wewe,
Utapewa ya mtoto wakoMie na wewe tenaaa.. niibie hata ka kidole ka mwisho tu 🤗🤗
😒😒 leo wanikazia hivyoo dahUtapewa ya mtoto wako
Usirudie tena kumsema mtu asiye member tumekusamehee mana u adaiwa moja tu.😒😒 leo wanikazia hivyoo dah
Ndiyo....kuna watu wanapenda sifa tu.Kumbe ni utoto tu,
🥲🥲🥲🥲 thawaaaa... ngoja nikakutafutie zawadi yako ya usiku wa kutishaUsirudie tena kumsema mtu asiye member tumekusamehee mana u adaiwa moja tu.
Sitaki yule demu fanya mpango🥲🥲🥲🥲 thawaaaa... ngoja nikakutafutie zawadi yako ya usiku wa kutisha