Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,944
- 177,160
Hapana mkuu kwangu hio ilishapita muda mrefu sana nashangaa mpaka sasa huu ujinga unaendelea na kuendelea kunichafua humu tena wananichafua na kunitag kabisa! Vitu anaongea mwingine nahusishwa Antonnia!Kumbe shida ndo hiyo, kwa mfano tukiongeza hiyo miti iwe yakutosha, isiwe ya kushare tena hili tatizo litaisha humu ???![]()


