Unalalaje file lako likishushwa nikuwakilisheSio hazigandishi tu ni waongo wachonganishi wanaume kama waanwake na wanawake wamechoka hawana kazi wamebaki kuwapigia wenzao majungu Tu
Hawajielewi😂😂😂
Ngoja nilale jana nilikesha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwaaa lolKutoka Selfika na sasa Files,hii wiki imeanza vzr sana...huku kuna Files ,kule kuna Waraka ..
Utanipa ujumbe best ila nafikiri sio jipya 😂😂😂 😂😂 ukiona sio usililete sitakag marudio 😀😀Unalalaje file lako likishushwa nikuwakilishe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujaijuaa badoo, utaijuaa tyuuh.Jf nzito aiseeee!! Haswaaa upande wa selfika [emoji119][emoji119][emoji119]
Kuna mtu kumbe aliahidiwa kupewa mil 3 afu kaambulia laki nakojoooooooooaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila wazee wa humu Mungu anawaona khaaaaa!!!
Yaani huu mpdf umenizidi kimo aiseeee!!
Mbna nikiingia humu mnakua na woga?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kamefika
Kamefika!!
Kumekucha[emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema kweliiiiUmenichachuaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Oyaaa relax mkuuHuo ni uongo bro, watongozaji wengi huishia kuniponda huko walivyo wajinga.
😂😂😂Oyaaa relax mkuu
Kwanza Mimi mademu wote wa jf nawaona manjemba tu.
Kuwa na amani
Hamlali 😃😃Sio hazigandishi tu ni waongo wachonganishi wanaume kama waanwake na wanawake wamechoka hawana kazi wamebaki kuwapigia wenzao majungu Tu
Hawajielewi😂😂😂
Ngoja nilale jana nilikesha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona ulikua buzzy kusoma PDFs.Ndo nani huyo Coca?
Akiyanani nimezeeka[emoji23]
Nalala dear 😀😀Hamlali 😃😃
Poa nimekusomaOyaaa relax mkuu
Kwanza Mimi mademu wote wa jf nawaona manjemba tu.
Kuwa na amani
Hata Kama mnakulana kiukweli Mimi sioni shida pia.
Unajua unapomfata mtu! Kwa mfano Mimi nikikufuata wewe pm Ni ta deal na yangu tu Huyo cantry hutamskia kwenye mdomo wangu Wala maandishi yangu.
Sasa nahisi shida zinaanzia Mimi na kutaka wewe then namkandia jamaa na sijui level ya undungu na mahusiono yenu.
Na kikubwa kabisa friji za wana jf hazigandishi hili ndilo nililoliona pakubwa
Mbona wabovu wote😂😃🤣, hamna Cha maana hapo🤔
Unapigwa changa la machooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeishtukia hii case kuna vitu vilimiss vya huyo aliyevujisha chat
Embu lala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa sanaaa, leo alikula nn sijuii, woiiiiiiihLeo shem alichachuka balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwann? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema kibabu kimezingua
Maelezo nimeyatoa sana, unajua sijui nisemaje labda wao kina depal na darlin waseme kama tunajuana.
Ni huyu dogo ndio naamini alikua akikuambia huu ujinga na uongo toka zamani kwa fake id
Sijui alifikiria nn.