Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Ahaaa siachi mchumba hawa waanataka kutugombanisha tu😅Endelea
Huoni wanakupaisha mchumba
Utatrend ati mjini humu![]()
Ahaaa siachi mchumba hawa waanataka kutugombanisha tu😅Endelea
Huoni wanakupaisha mchumba
Utatrend ati mjini humu![]()
Hapo stimu zime fika cerebrum 😁🤐
Hata mie Nina files kibao humu tena za muda mrefu sana na za watu kibao!! Nashukuru Mungu sinaga huo muda ndiokwanza nacheka hadi na haoohaoo watu ambao unakuta anaenda kunipondea kujungua na kwa majina kabisa sinaga mudaaaaa!! Hao vijanaaaaa wenu babu 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮!!Sikuwahi kuzifumania habari za kunihusu, isipokuwa leo.
Ila Vijana wajifunze kuwa na siri.
Mbona Sisi wazee tumeweza kutunza, imagine Babu yenu nilikuwa nafanya kazi kwenye Serikali ya wakoloni miaka ile lakini habari ya Kudai Uhuru wa Nchi wazungu wamekuja kuijua tayari tumepandisha Bendera Mlima Kilimanjaro.
Vijana wa sasa si wangemwambia Mzungu siku hiyo hiyo kuwa Wenye Tanganyika wanadai Uhuru wao 🤪
Sana tu sikulala aunt ila nikagundua ni ushamba tu wa watu wa hapa sijui yaliishaje naona tu napumua kama kawa 😀😀😀Hivi Auntie na wewe umepitia?
Joto lipungueeeHaaa vinini vipoe tena😅
Tutafanya wote homework fanya mpango tuongee inaonekana kuna mambo unayajua weweJoto lipungueee
Kafanye homuwekiiiiiiii😂😂😂
Mtihani ni kesho
Nimeshapoa😊Pole sana madam
Maskini😂😂😂😂Sana tu sikulala aunt ila nikagundua ni ushamba tu wa watu wa hapa sijui yaliishaje naona tu napumua kama kawa 😀😀😀
Endeleen kupozana tu mkeka wenu unakuja soonNimeshapoa😊
Mbona unaniambia mapya, nini nachokijua jamanTutafanya wote homework fanya mpango tuongee inaonekana kuna mambo unayajua wewe
Kwa kweliSupastaa my Asssss 😂😂 🤠🤠🤠🤠🤠🤠😊😊😊!
Sasa mtu mambo ya miaka 47 huko bado naandamwa mpaka leo mimi mbona wenzangu hawaandamwi na walikua wanaweka mahusiano yao wazi pia who Am I????
Nina nini cha ziada ??? 😁😁🤠🤠🤠🤣🤣!!
Wanipumzishe kwakweli!
Hili tena la Grah mbona kuna jingine nilisikia kumuhusu Huyohuyo Grahams?
Na wengine kibao humu ??? humu kwanini wanitaje Mie tyuuuu????
Nyiee 🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺
Jf sihamiiiiii 🕺🕺🕺🕺!
Kusanyeni mafile yenu vizuri muwe na data kamilii na sio za kupika!!
Tuyaongelee hapa au?Mbona unaniambia mapya, nini nachokijua jaman
Mie yangu mwenywe kuna mengine siyajui
Au unaongelea hapi?
Mkuu, naona unani circle na redmark😃.
Hapanaaaaa hapana😂😂😂Tuyaongelee hapa au?
Haya njoo PM😇Hapanaaaaa hapana😂😂😂
Usije ukaniumbua kweupe hapa
Nasubiria file lakooo madamm 😁😁😁😁🤠🤠🤠😂!!Sana tu sikulala aunt ila nikagundua ni ushamba tu wa watu wa hapa sijui yaliishaje naona tu napumua kama kawa 😀😀😀
Mazito my wangu 😀😀Nilikufa nalo kiume maana ningekuja kulisema ingekuwa Kash Kash hapa kwenye Uzi alafu ingekuwa taharuki nilishasamehe kitamboMaskini😂😂😂😂
Pole
Walikusemaje?
Ma file yako ninayo mengi sema unataka lipi kati ya haya manne😜😅😅Alafu unavyocheka napata wasiwasi usije kuwa una File lingine la Babu yako hapa.
Sema mapema kabla sijakimbilia Shambani kwangu nijifiche huko Mwaka Mzima 🤪🙌
Hapa hapaaaHapanaaaaa hapana😂😂😂
Usije ukaniumbua kweupe hapa
Kwan nani ana faili la mwenzie😂😂😂Haya njoo PM😇