YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Niwe na mubebez humu afu nitaniane taniane nae wazi hivi kama navokutania babu nimerogwa??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji23][emoji23][emoji2960][emoji2960][emoji2960]?
Waje waniibie humu wasivo na dogo[emoji57][emoji57][emoji57]???? thubutruuuuuuu!!!
Sitorudia trena huo ujinga wa mahusiano humukwanza napambana nahare yanguuu tyuuu nina furaha saiiii hekaheka zenyuuuu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!!
Ko walikuibia humu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]