Viajana wamekesha hapa kijiweni leo hawajalala😂 kuna balaa humu ndani. Mimi sijisikii vizuri naingia huku nakutana na vichambo tena😂
Viajana wamekesha hapa kijiweni leo hawajalala😂 kuna balaa humu ndani. Mimi sijisikii vizuri naingia huku nakutana na vichambo tena😂
Aisee😂.Viajana wamekesha hapa kijiweni leo hawajalala
Nakusanya makblasha hapa 😅😅😅National Anthem alilewa kidogo late night akaanza kulipua ameahidi leo akipiga ka ulanzi vizuri kufikia kiwango cha harmonize atatulipua mmoja baada ya mwingine ili tukae sawa na amani itawale
Ms eyes
Hivi akili zako zipogi wapi nimecheka ulipomsema best yangu National Anthem ila leo ndio siku ya mtoto wako kuliwa kama mbogaAlisha wahi kuwa kwenye level hiyo, hukumbuki Hadi aka chukua tuzo??
👉Baadae aka achia ma hit ka ma 3.
👉Ndo team mond Waka mjaza bichwa😁
😅😅😅😅😅 mie nimewahi kichwa na mikonoHivi akili zako zipogi wapi nimecheka ulipomsema best yangu National Anthem ila leo ndio siku ya mtoto wako kuliwa kama mboga
Taraka hupewi shem
Hapo umefikaaa
Unalipata soon.. nakupa mzigo nasepa zangu, narudi wiki ijayo kukiwa kumepoaNasubiria Pdf linaload taratiiibu sana ila litafika tu nina imani udugu
mbona na sie tumeambiwa tumekaza watu flani flani watu wanapika tu.. 😅😅😅.. ivi umelala kijanaEmu nishtulie Jack kwanza aje hapa naye aniambie mara ya kwanza alinikaza wapi??!!
ms eyes mamboAisee😂.
Humu rafiki yangu hapaeleweki vizuri, story kamili unaweza kupata kwa cocastic au Cute Wife mimi nilikuta mambo yamechemkaa balaa
Ila kwa ufupi inaonekana kuna member wana group zao huko pm wanawasema na kueneza mambo kwa kuwazushia baadhi ya members humu kuwa wana mahusiano au wanakulana na blaa blaa kibao
Hayo mambo yamepelekea kukosa utulivu humu ndani kiasi ambacho kimewakasirisha wajumbe kwa hiyo wamekusudia na wameanza kulipua mabomu
Poa za kwako?ms eyes mambo
za kwangu nzuri tu...Poa za kwako?
Unalipata soon.. nakupa mzigo nasepa zangu, narudi wiki ijayo kukiwa kumepoa
unanitisha tena ? naweza nisikupe pia ili mnichakachue.. mie huyu unitishe ?Wewe lilete nasubiri usilete kona kona tutakuchachua mpk reporter oooh!!
mbona na sie tumeambiwa tumekaza watu flani flani watu wanapika tu.... ivi umelala kijana
Shem huyu cocastic nimeshafungishwa ndoa hapa jf tayari inabidi nifanane naye tuu hamna namna🤣🤣🤣Shem coca kakuharibu hivi hata mmelala leo kweli??
🙏🙏🙏 millions millions, mzee jioni nakucheki.. pia nitakuwa Dom piaBlue workdayView attachment 2723648
unanitisha tena ? naweza nisikupe pia ili mnichakachue.. mie huyu unitishe ?