Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

image-2023-08-21-20:04:55-559.jpg

Je una makasiriko?, Je unapanick utafikiri ndio mara yako ya kwanza kusambaziwa pumba? Je unakasirika utadhani snitches ni alien?

Tumia kahawa ina tuliza muhaho,

dozi kila baada ya masaa 2 au 3 , makasiriko yakizidi nenda gym

Mimi natumia kahawa wewe je?
 
View attachment 2724059

Mimi sioni kama inakasirisha sana ni kupotezea kusemwa ndio ubinadamu japo inaumiza lakini hakuna njia utamzuia mtu kuongea maana had ujue ushachafuliwa sana Kuna mambo mazito mno huu Uzi sikuwah fikiria nilijua ni utani tu lakini watu wako serious kuumiza wenzao lakini kuwasamehe tu
 
Aloo 😃😃
 
Mshaambiwa kama unataka kufanya vitu serious especially mahusiano JF sio mahali sahihi pa kufanya CHOCHOTE hamsikii ahyaaa
 
Mimi sioni kama inakasirisha sana ni kupotezea kusemwa ndio ubinadamu japo inaumiza lakini hakuna njia utamzuia mtu kuongea maana had ujue ushachafuliwa sana Kuna mambo mazito mno huu Uzi sikuwah fikiria nilijua ni utani tu lakini watu wako serious kuumiza wenzao lakini kuwasamehe tu
Una shingapi vile umesema , nilete part 2 😅😅😅
 
Back
Top Bottom