Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
Haha Kuna mwingine au huyuhuyu 😀😀Na ufungwe ila mchawi lazima tumnyoe nywele
Haha Kuna mwingine au huyuhuyu 😀😀Na ufungwe ila mchawi lazima tumnyoe nywele
😅😅😅 naona mod hapa wana pita pita kuangalia.. waje mapema kuamulia.. kabla damu haijamwagika.. au unaonaje 😅😅Ukiweka hapa Uzi utafungwa dear
😀😀😀Hivi Mjomba inawezekanaje mtu mmoja au wawili kuwa na data zawatu wote hapa?😅😅😅 naona mod hapa wana pita pita kuangalia.. waje mapema kuamulia.. kabla damu haijamwagika.. au unaonaje 😅😅
Mimi sioni kama inakasirisha sana ni kupotezea kusemwa ndio ubinadamu japo inaumiza lakini hakuna njia utamzuia mtu kuongea maana had ujue ushachafuliwa sana Kuna mambo mazito mno huu Uzi sikuwah fikiria nilijua ni utani tu lakini watu wako serious kuumiza wenzao lakini kuwasamehe tuView attachment 2724059
Je una makasiriko?[emoji23], Je unapanick utafikiri ndio mara yako ya kwanza kusambaziwa pumba? Je unakasirika utadhani snitches ni alien? [emoji18]
Tumia kahawa ina tuliza muhaho,
dozi kila baada ya masaa 2 au 3 , makasiriko yakizidi nenda gym
Mimi natumia kahawa wewe je?[emoji3257]
Aloo 😃😃View attachment 2724059
Je una makasiriko?[emoji23], Je unapanick utafikiri ndio mara yako ya kwanza kusambaziwa pumba? Je unakasirika utadhani snitches ni alien? [emoji18]
Tumia kahawa ina tuliza muhaho,
dozi kila baada ya masaa 2 au 3 , makasiriko yakizidi nenda gym
Mimi natumia kahawa wewe je?[emoji3257]
ukisoma huwa waraka .. unaona yupo nani.. huitaji kwenda cuba.. ukisoma tu unajua uchawi wao wote😀😀😀Hivi Mjomba inawezekanaje mtu mmoja au wawili kuwa na data zawatu wote hapa?
Mimi sioni kama inakasirisha sana ni kupotezea kusemwa ndio ubinadamu japo inaumiza lakini hakuna njia utamzuia mtu kuongea maana had ujue ushachafuliwa sana Kuna mambo mazito mno huu Uzi sikuwah fikiria nilijua ni utani tu lakini watu wako serious kuumiza wenzao lakini kuwasamehe tu
navuta sheeshaView attachment 2724059
Je una makasiriko?[emoji23], Je unapanick utafikiri ndio mara yako ya kwanza kusambaziwa pumba? Je unakasirika utadhani snitches ni alien? [emoji18]
Tumia kahawa ina tuliza muhaho,
dozi kila baada ya masaa 2 au 3 , makasiriko yakizidi nenda gym
Mimi natumia kahawa wewe je?[emoji3257]
Una shingapi vile umesema , nilete part 2 😅😅😅Mimi sioni kama inakasirisha sana ni kupotezea kusemwa ndio ubinadamu japo inaumiza lakini hakuna njia utamzuia mtu kuongea maana had ujue ushachafuliwa sana Kuna mambo mazito mno huu Uzi sikuwah fikiria nilijua ni utani tu lakini watu wako serious kuumiza wenzao lakini kuwasamehe tu
Nimeshaona kunamtu kasifiwa sana kiukweli 😂😂😂ukisoma huwa waraka .. unaona yupo nani.. huitaji kwenda cuba.. ukisoma tu unajua uchawi wao wote
Nimeongeza dau afu tatu fanya haraka boss kabla sijasusa😀Una shingapi vile umesema , nilete part 2 😅😅😅
basi imeisha hiyooo.. kumbe umesoma cuba.. ila ulikuwa mtoro sana class eeeh 😅😅😅 ndio maana tulikuwa hatugongani mala kwa malaNimeshaona kunamtu kasifiwa sana kiukweli 😂😂😂
navuta sheesha
Naomba rezler tumoke bana 😁navuta sheesha
😀😀😀Akili nyingi sanabasi imeisha hiyooo.. kumbe umesoma cuba.. ila ulikuwa mtoro sana class eeeh 😅😅😅 ndio maana tulikuwa hatugongani mala kwa mala
Naomba 😍
No pls aunt 🤣🤣Nimeshaona kunamtu kasifiwa sana kiukweli 😂😂😂
Uduguuu leo nimetingwa kidogo!!Shem tulia alete wanga na wachawi