Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Mhhh wangejua ticha ni pisi kali zaidi yao🫢Si unajua navyoku save unapata pisi kali humu ndani😂😂😂
Usiniangushe tafadhali
Mhhh wangejua ticha ni pisi kali zaidi yao🫢Si unajua navyoku save unapata pisi kali humu ndani😂😂😂
Usiniangushe tafadhali
Mwee afadhali safari hii nimepumzishwaAhaa kumbe nimesoma vibayaaaa doh mawenge hayaaa!!!
Nipo nimekaa paleeee![]()












Aliye jisiribia ni National Anthem 😁😁Kwahiyo ulitaka kuamini kabisa kuwa hazitanifikia.? Zilifika zote.
Huyo mmoja aliyejisilibia ndio kiini chenyewe, maana alikuwa anamjaza dogo ili aendelee kutiririka.
Hakika Mkuu, wamenikosea sana Babu yaoKwa kweli na uzee huo vijana wame kukosea sana😁😁😁
HahahahahahahaCute Wife mwambie mwenye hilo pdf akafungulie uzi kabisa ili tujuane😅
😂😂😂Mhhh wangejua ticha ni pisi kali zaidi yao🫢
Hahahaha,kila ukitafuta hola,ukiipata ni tagFor real, nimeshindwa kuelewa mnapataje hizo PDF na mimi nijionee.
😂😂😂haupo mremboFor real, nimeshindwa kuelewa mnapataje hizo PDF na mimi nijionee.
Hahahaaa eti kibamiaaa kileeee babu mbavuuu zanguuu miee🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂!!Nimewasamehe, ila jambo hili kutoka Moyoni kabisa sijalipenda.
Na it seems, Vijana wengi wa miaka hii hamjui kutunza Siri.
Kama mnaweza kuwa na Mahusiano humu, kwani ni lazima kila mtu ajue.
Jifunzeni kutunza Siri, kama mnaweza kuhadithiana haya vipi kama tulikuwa tuna Vibamia, si vyote mtaviweka hadharani jamani.
Tukiwa tuna comment hapa mtaanza kusema Angalia Kibamia hichi kinapita
Jamani heshimuni Privacy zenu
🤐😂😂😂
Unaanza kumkosea mwalimu sasa
Unataka supp au, tulia tafadhali 😂😂
Kama sipo wala havinihusu😂😂. Sitaki ushahidi bora nibaki kapa.😂😂😂haupo mrembo
Au bado unazitaka ujionee😂😂😂
Kama huna connection jitahidi usipeleke jicho pembeni,muda wote angalia humuFor real, nimeshindwa kuelewa mnapataje hizo PDF na mimi nijionee.








Hapo sawa
Tuwaachie wakongwe😂Hahahaha,kila ukitafuta hola,ukiipata ni tag
😂😂😂Kama sipo wala havinihusu😂😂. Sitaki ushahidi bora nibaki kapa.
Nitaunguza chakula🤣🤣. NapikaKama huna connection jitahidi usipeleke jicho pembeni,muda wote angalia humu![]()
Ahaaa siwezi kunyamaza kabisa😅Hapo sawa
Nitaingia baadae kukipoa😂😂😂😂
Kua mpenzi msomaji
Kwahiyo unataka Pombe ndiyo isingiziwe 🤪Yaani inatakiwa kulewa kwanza