Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,840
- 57,483
๐ ๐ ๐ ๐ ๐Kesho atakayeniuliza nimwambie aulize pombe sio me![]()
๐ ๐ ๐ ๐ ๐Kesho atakayeniuliza nimwambie aulize pombe sio me![]()
Daaaah aisee nimi naacha utani wangu rasmi heeeAshukuriwe Mungu sijui hawakuwepo hawa kipindi hicho
Zile msg tulikuwa tunaandikiana humu
Akiyanani nyie
Maneno yangekuwa mengi sana.
Kuna watu walinifata kuniuliza kama ni kweli
Nikawaambia mtu mwenyewe sijui hata anafananaje
Mara kipindi Fulani nikatuma tiketi ya ndege humu
Wakauliza kama nimekufuata Daslama![]()
๐๐๐๐Na mimi ndio nilikuwa nautaka sasa๐คฃ
Kabisa na km hujawah pitia huwez kuelewa inauma sana tu












Ilo ndo la muhimu lakini Kwa kuwa yeye ndo kiini na ndoametaja watu wote hawez kuja hapaHii story ipo upande mmoja ndiomana inachanganya ilitakiwa huyu kipenseli kilichokosa ufutio kije kikamilishe chat zilizomiss na jina la mwenzie waliyekuwa wanachat wote!! Hapo tutampata mchawi vinginevyo ni vikundi vya watu vimeamua kuharibu kwa Penseli afu wamevutia kwao
Supastaa my Asssss ๐๐ ๐ค ๐ค ๐ค ๐ค ๐ค ๐ค ๐๐๐!Superstar wa jf nzima๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ kungekua na option ya call kama insta nibgekupigia leo๐๐๐๐
Ukija TZ utembeze na kirungu ili tukufungulie na thread kabisa
Alafu unavyocheka napata wasiwasi usije kuwa una File lingine la Babu yako hapa.๐๐
EndeleaDaaaah aisee nimi naacha utani wangu rasmi heee




Tulia bas na wewe๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ kungekua na option ya call kama insta nibgekupigia leo
Babu yenu tena nimefanya nini?Supastaa my Asssss ๐๐ ๐ค ๐ค ๐ค ๐ค ๐ค ๐ค ๐๐๐!
Sasa mtu mambo ya miaka 47 huko bado naandamwa mpaka leo mimi mbona wenzangu hawaandamwi na walikua wanaweka mahusiano yao wazi pia who Am I????
Nina nini cha ziada ??? ๐๐๐ค ๐ค ๐ค ๐คฃ๐คฃ!!
Wanipumzishe kwakweli!
Hili tena la Grah mbona kuna jingine nilisikia kumuhusu Huyohuyo Grahams?
Na wengine kibao humu ??? humu kwanini wanitaje Mie tyuuuu????
Nyiee ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ
Jf sihamiiiiii ๐บ๐บ๐บ๐บ!
Kusanyeni mafile yenu vizuri muwe na data kamilii na sio za kupika!!
Hivi Auntie na wewe umepitia?Kabisa na km hujawah pitia huwez kuelewa inauma sana tu
Nachojua mimi na dada tunadhani haujuiKwahiyo ulitaka kuamini kabisa kuwa hazitanifikia.? Zilifika zote.
Huyo mmoja aliyejisilibia ndio kiini chenyewe, maana alikuwa anamjaza dogo ili aendelee kutiririka.
Mie nipo nasoma tuSupastaa my Asssss![]()
!
Sasa mtu mambo ya miaka 47 huko bado naandamwa mpaka leo mimi mbona wenzangu hawaandamwi na walikua wanaweka mahusiano yao wazi pia who Am I????
Nina nini cha ziada ???!!
Wanipumzishe kwakweli!
Hili tena la Grah mbona kuna jingine nilisikia kumuhusu Huyohuyo Grahams?
Na wengine kibao humu ??? humu kwanini wanitaje Mie tyuuuu????
Nyiee
Jf sihamiiiiii!
Kusanyeni mafile yenu vizuri muwe na data kamilii na sio za kupika!!




Haaa vinini vipoe tena๐Tulia bas na wewe๐๐๐
Hata havijapoa jamani khaaaa๐๐๐
Hebu kalale huko ๐๐๐