Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Afu kuhusu Grahams mbona mi nilishausoma mchezo muda sana ningekua ninaejalii ningeshauliza humu muda mrefu nashukuru hata sijalii as Long as kitu hakinihusu walaaaaa!! Nilishalisikia hilo muda mrefu sana mwenzenyuuuu!

Nasemaaaajeeeeee jf sihamiiiiii 🤣🕺🕺
Naona kuna watu wanataka niwape radhi, tangu lini Wazee tukawa na hayo mambo?

Sikuwahi kufikiria kama mtafikia hatua ya kuvunjiana adabu namna hii.

Sijapenda 🤨
 
alafu nipo busy kupeluzi files tu hapa.. naweka ushahidi amba upo huko.. naanza shambuliwa.. 😅😅😅 uzuri haya nayoweka ni kile ambacho kina umiza wengi.. hao waliopakaziwa figo ngoma ect mbona hawaruki ruki kama maharage.. kumjua mchawi rahisi sana..
Mjomba weka wasengenyaji walishasema hawaioni ufalme wa Mungu hata huu wa selfika hauwahusu hata km mm nilikusema Mjomba weka tu yaishe kwakweli kupakaziwa kunauma wanaumia na wao
 
Grahams [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasikia ulisimamia kucha eti nyie jf hapana
Wote tunajua sisi Wazee Jogoo huwika kwa mwaka mara moja tu, sasa hao mabinti mnataka tuwe nao kwa kazi gani?

Mabinti na vigori ni kwaajili ya Vijana tu,

Huo ni mtazamo wetu Sisi Wazee
 
Back
Top Bottom