Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa wanapata nini?? Afu mingine midume kabisa nayo inashadadia umbea humu yaani tafrani aiseee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utasema yoteeee na badooooo.
Kumbe wamekufikiaaa na wee, nilijua tyuuh ni suala LA muda. Weraaaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasemajeeeee mtafukuanaa hadi mjue unafikii hauna umbaliii, na ninawa zoom tyuuuh.

Mie yangu machooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Waje tyuuu nimejaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umefikiwaaa uduguuuh,
Nacheka kwa sautiiii, woiiiiiiiih

Jana ulikuwa wapi?? Nawe unaswampa mno [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Elewa neno KIFINYIO [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
pole chief kumbe watu wana wivu namna hii
Mimi pia na vivocha vyangu nimekua victim [emoji16]
Nibalaa
Nawee utulizaneeee mfyuuuuuuh, victim ya nyokooooooo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni vingi vinapelekwa mpk tukaifunga piem yake!! Me naona kuna watu wanampenda Kantri wanashindwa kumwambia wanatumia maneno ya kuniponda ili wampate sijui?!!!!

Afu mbona Kantri yupo muda humu walikua hawamuoni?? Hebu Kantri njoo uwaambie me na wewe tukoje?? Maana nilikukataza usiingie huku, ila kwa hili njoo ulitolee maelezo leo tufunge mjadala
Countrywide njoo honeyyyyyy [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo nachekaaa hadi bandama, zinasema please wait. Uwiiiiiih
 
Umeshindikana chief mpaka unakopeshwa.

Ulitumia medani zipi za kimapambano aise
😅😅😅 mbona nawakopa wengi sana na hakuna anae chomoa mzee.. naongeaga kama yule Carlos wa kwenye movie.. so naonekana wa maaana.. kuna wengine wananipea .. sema nini uwe mtu wao.. hata siku kama huna michakato ya kupiga unawanunulia msosi au kilaji.. mbona utafaidi
 
Mpk wanaume wana vigroup wameungana na wadada kazi yao ni umbea tu!!! Wanakuja piem wanatongoza afu wanasambaza chat na pic zako!! Kuna wengi nimewaona huko piem wanaleta

Tena hii niko serious ladies kuweni makini piem mtaabika nawaambia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu kapatwaaaa, nachekaa mwenziooo, khaaaah
 
Back
Top Bottom