Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,334
Af ndio nitegemee kuachana hapo uongo ๐๐ ๐ ๐ ๐ mambo yangu yale mwanzo mwisho
Af ndio nitegemee kuachana hapo uongo ๐๐ ๐ ๐ ๐ mambo yangu yale mwanzo mwisho
Ujue eti wanatuimbia parapanda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Yaani nilicheka sana.
Mimi na HS tulicheka ,tukasema Mungu atupe uhai tusife mwaka huu.
Tukifa mbona ndo wataongea sana[emoji1787]
๐ ๐ ๐ ๐ .. kwaniniAf ndio nitegemee kuachana hapo uongo ๐
Kabisa tena ilushindi mzuri shem[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shem Liver jana walishinda
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] wehu tu banaa.. sema mama mchungaji walimkosea sana.. ujue bora wangezusha nipo na Unique Flower tuu
๐ ๐ ๐ ๐ mie na Unique Flower ni kama samaki na maji.. alafu siku watatushangaa hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwehu wewe ko maua ndio wa kuzushiwa shosti angu?? Subiri afike uone
Hivi hujasikia kuwa Mr Vocha anatoka na St Anne kamnunulia hadi jezi!Hee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au ndo maana siku hizi huweki weki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yesu wangu,
Majobless tutaishije sasa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakuache kabisa
Katika watu wataoingia Mbinguni moja kwa moja na wewe upo.
Unajua bhna acha kujisahaulusha๐ ๐ ๐ ๐ .. kwanini
Nilichokiona humu,kuna watu wa humu wana ka group huko PM,
๐ ๐ ๐ vijana wadogo mna date nao.. mkitongozwa na sie wazee.. mnatufungia PM.. pambaneni na vijana wenuMpk wanaume wana vigroup wameungana na wadada kazi yao ni umbea tu!!! Wanakuja piem wanatongoza afu wanasambaza chat na pic zako!! Kuna wengi nimewaona huko piem wanaleta
Tena hii niko serious ladies kuweni makini piem mtaabika nawaambia
๐ ๐ ๐ ๐ tutaachana tuUnajua bhna acha kujisahaulusha
Hamna namna chief๐ ๐ ๐ Pole sana chief.. ila tuishi nao mkuu.. hizo watu ni small mind ndio maana zakaa zinatengeza movie.. mie hayo matusi sijawai hata fanya nashangaa mkeka huo niliopita naoo.. ingekuwa kweli mbona ningevimbam.. inabidi usitishe msaada wa vocha
Mpk wanaume wana vigroup wameungana na wadada kazi yao ni umbea tu!!! Wanakuja piem wanatongoza afu wanasambaza chat na pic zako!! Kuna wengi nimewaona huko piem wanaleta
Tena hii niko serious ladies kuweni makini piem mtaabika nawaambia
๐ ๐ ๐ tutabaki wabishi hadi panyooke .. au watoke wao wambeyaa .. kijiwe poa sana hiki kuondoa stressHamna namna chief
Tutafanyaje sasa
Uzi umekua kijiwe cha umbeya ma legend wote wamekimbia aisee
Ni balaa na nusu aisee๐ ๐ ๐ sema nini sasa inabidi tufanye kweli..
Kabisa aisee๐ ๐ ๐ tutabaki wabishi hadi panyooke .. au watoke wao wambeyaa .. kijiwe poa sana hiki kuondoa stress
Au niende kuroga et? Umenipokonya tonge mdomoni๐ ๐ ๐ ๐ tutaachana tu
๐ ๐ ๐ pole mwayaaa.. acha nijilie vyangu.. tukiachana utaliunga telaAu niende kuroga et? Umenipokonya tonge mdomoni