National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
hadi uwe na hela kwanza msingi kiuno 😅😅Mtafute chugga man akupe mbinu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hadi uwe na hela kwanza msingi kiuno 😅😅Mtafute chugga man akupe mbinu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😬😬😬😬
usisahau kumtag mshambaThawa.zote za zamani[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tengeneza cake utasutwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi yule aliyekuzushia na akaleta pic zako akasema mlikuwa na member wa humu ni nani??
Halafu siku ile nilikuwa nataka nichangamshe uzi wa selfika ila wewe na amini hii kitu ni kweli maana toka jana ni bora ukapotezea best[emoji16]
Watu mna siri humu😁😁😁😬😬😬😬
AiseeZuchu kaimba, watoto ni shida tu kitaa.
Haelewi, mpaka aje kusikia kituu🤣😂😂Nikwambie kitu ukitaka kushinda hii vita pambana kimya vinginevyo mapenzi ya mitandao ni kubeti ujue😁😁
[emoji28][emoji28] nilichekaa.. alafu nikaona huruma
We humu watu ni wakuda kichenzi halafu sijui niseme ni ukosefu wa kazi 😬Uongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me kimeniuma pic zangu tyuu hayo mengine wala siyahitaji kivile hayana umuhimu
Unajua mtu mwenye akili zake timamu hawez kubeba pic ya mtu na kuikimbiza kwa mtu ambaye ahusiani naye, huo ni UCHOKO afu anapeleka na vimaneno ili iweje??
[emoji2304][emoji16][emoji16][emoji16]
😬😬😬 siri au unajisi tu.. humu hakuna siri ila kuna utoto mwingi sana... sijui kazi hakuna au sielewi.. alafu ajabu kuna mtu akiona una chart na mtu anakununia sasa nabaki nachekaaa kuna vitu vinaendelea unabaki unashangaa.. sema nini hiki kijiwe cha umbeaWatu mna siri humu😁😁😁
hadi uwe na hela kwanza msingi kiuno [emoji28][emoji28]
Sina picha ni midosho tu.usisahau kumtag mshamba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani naona napitwa na mambo sana humu.
Hadi sasa sielewi.
Unadhani hata naelewa basi[emoji1787]
Sijui hata ni akina nani,
Mimi nililetewa hizo habari na dada wa watu HS,kuwa wametusema mimi na yeye eti tumetoka na National Anthem[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikawa nashangaa hapo[emoji23].
Mama wachungaji tukawa tumefikiwa..
Kuna watu moto wao utakuwa VIP aisee
Tumemkabidhi Mungu tu,
Uwezo wa kuchamba hatuna.
Watu tunazungumza mambo ya msiba[emoji28][emoji28] nilichekaa.. alafu nikaona huruma
wangejuaga.. mie hata kifanyio sina..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani naona napitwa na mambo sana humu.
Hadi sasa sielewi.
Unadhani hata naelewa basi[emoji1787]
Sijui hata ni akina nani,
Mimi nililetewa hizo habari na dada wa watu HS,kuwa wametusema mimi na yeye eti tumetoka na National Anthem[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikawa nashangaa hapo[emoji23].
Mama wachungaji tukawa tumefikiwa..
Kuna watu moto wao utakuwa VIP aisee
Tumemkabidhi Mungu tu,
Uwezo wa kuchamba hatuna.
[emoji23]uje kunipikia siku moja mdogo wangu.. [emoji4][emoji4][emoji4]
hawajui mie hata kidudu changu walikikata wakati wa kutahiliwaa hapa napiga soga tuHumu kuna watu vichaa aiseeee!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji17]
[emoji23][emoji23][emoji23]Nashukuru Mungu Ni Mwema.
Nimefurahi Pia Kukuona Naimani Unaendelea Vyema.
Yeah Kitambo Ila Tupo Pamoja Naona Uzi Wako Pendwa Umewaka Moto Ndani.[emoji23]