Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimemsamehe ili akazwe yeye maana alikuwa na wivu sana[emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tena umwambie anayemkaza ampe kito**mo heavy mpk aje asimulie!!!
Yani asimuonee huruma shenzy
 
Njoo taratibu utueleze😂😂😂
Nilipewa hela ya jezi hapa na Mjep
Nilidhani anatania

Sasa nikaja kushukuru.
Ndo eti wanasema tunadate,kanipa hadi hela ya jezi🤣🤣
Ndo nikawa nasema hapa sijawazuia mimi kushabikia Liverpool chama la Dunia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Utachoka nakwambia km avatar ya wizo [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Uduguuuuu niwaaacheeeeee jomoneeee, nakufa mie woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Humu jf domo zege Ni nyingi Sana. Hii ya kuibukia vivuli ndio only option.

Na Hawa dada zangu nahisi some of them Ni rejected huko kitaa na hii ndio only option yao ya kujitutumua. Maninah maana kila siku wanapigania madudu ya madomo zege ya jf.
Sikuhizi unaakili sana vijana huko mtaani Ni Wengi mno😀😀😀sijui shida Ni nini hapa ndani
 
Jamani nimeacha rasmi kugombana kuna mtu anakasirika anatamani ningekua karibu aniwashe makofi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila anayeona me mke mwenzie au adui yake kivyovyote vile aje aniquote na aseme shida yake nini?? Ili tumuombe Mello atupe uwanja tupigane jf iingize mapato [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Uduguuuuu naombaa niwe Referee, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Me tyr kuanzia kwa Mello jf mpk kwao kwa mama ake, hilo waulize wengine wanaobeba pic wanampelekea piem [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uduguuu mbna taarifa sina? Ntakukanaa.
Hebu sema kweliii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuuu selfika waijuaa? Waisikia? Wee hayaa tyuuh,
Ila ndo nimechekaa sanaaa, mbavu zinauma wallah.

Hujacheka vzr nakwambia ni shida humu!! Nimeshangaa mpk ss hivi ile sura ya mwanamke kweli au alikimbia kupachikwa dyudyu kabla hajakauka wakati wa uumbaji??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwanza hata hayo mapenzi yenyewe niko serious nayo basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me sipendi pic zangu kuchukuliwa kupelekewa mtu na kuanza kunisnitch kwann hawajiamini??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mazoea yana tabuuu, uwiiiih
 
Back
Top Bottom