Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Au wanataka muachane
Kamati ya roho mbaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Uzuri wanaume Wanajitambua na ni waelewa

Wangekuwa wa kukazwa upepo na kusikiliza maneno,aisee
Mahusiano yasingedumu..kuna vichaa humu[emoji1787]

Hata tukiachana ndo watampata sasa??? Kwa Kantri wanajichosha tyuuuu!!!
Yupo mbele ya muda yule [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
20230819_132424.jpg
 
Hivi hujasikia kuwa Mr Vocha anatoka na St Anne kamnunulia hadi jezi!
Ni balaa na nusu mdogo wangu
Hee😂😂😂😂😂😂😂
Tena?


Hii ya lini?🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kwani nimewakataza kushabikia Liverpool?😂
Akiyanani next week nadhani nitaenda kuinunua.

Ntaitupia humu wanaokereketwa nasema na bado🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom