Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,334
Kama unanikataa sawa ila nisamehe kwa kuropoka hapa nimevunja ahadi 🙏🤭Braza braza braza
Utafanya nionekane fogo kumbe sina kitu chief 🤣🤣🤣🤣🤣
Kama unanikataa sawa ila nisamehe kwa kuropoka hapa nimevunja ahadi 🙏🤭Braza braza braza
Utafanya nionekane fogo kumbe sina kitu chief 🤣🤣🤣🤣🤣
Uduguuuuu naombaa niwe Referee, [emoji23][emoji23][emoji23]
Ajatokea bado😅😅😅😅... namsubiri jishangazi kwanzaa
Haha unanijazaSikuhizi unaakili sana vijana huko mtaani Ni Wengi mno😀😀😀sijui shida Ni nini hapa ndani
nipo napata korosho hapa na muhogo wangu hapa .. 😅😅Ajatokea bado
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasemajeeeee mtafukuanaa hadi mjue unafikii hauna umbaliii, na ninawa zoom tyuuuh.Sitoi kiki ila msg sent
Afu mbona wewe siku ile tulikubembeleza na coca umtaje yule mtu ukala njoro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo mtu aliyepeleka pic kaenda na I’d mpya… sema nenee tuwapotezee watu wenyewe hawajiamini wanakimbilia piem za wanaume hovyo
Akija utamuona
Ntakutag[emoji1787]
Ila sijui ataingia lini
Sijui mwakani [emoji1787]
Kula nyingi agiza na kikombe cha khahawa ichanganywe na tangawiz nyingi pipi kifua usisahau kubeba 4nipo napata korosho hapa na muhogo wangu hapa .. 😅😅
Kuonhelea DPW.Kazi ya iko kgroup?
tbt kwangu hua imenikalia kushoto Sana.hapo sinza au tbt 😅😅
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umefikiwaaa uduguuuh,Uongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me kimeniuma pic zangu tyuu hayo mengine wala siyahitaji kivile hayana umuhimu
Unajua mtu mwenye akili zake timamu hawez kubeba pic ya mtu na kuikimbiza kwa mtu ambaye ahusiani naye, huo ni UCHOKO afu anapeleka na vimaneno ili iweje??
4 za kazi gani.. ni mwendo 👅👅👅 kwanza hadi kwenye 👁️👁️Kula nyingi agiza na kikombe cha khahawa ichanganywe na tangawiz nyingi pipi kifua usisahau kubeba 4
Hahha tulia kwanza kijana 😀😀😀ila.mbona mie wa mtaani na ulinikataa hata kunielekeza kwenu tu lol😅😅
Vzr kama kuna watetezi imaraKuonhelea DPW.
😀😀😀Ila wewHujacheka vzr nakwambia ni shida humu!! Nimeshangaa mpk ss hivi ile sura ya mwanamke kweli au alikimbia kupachikwa dyudyu kabla hajakauka wakati wa uumbaji??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo nachekaaa km mwehuuu, woiiiiiihMimi yalisha nikuta kuna member tulizoeana kweli matani sana na vikopa jukwaani kumbe ilikuwa kosa bila kujua hata hatukuwa tunatakana akaanza kupelekewa faili langu eti wananijua ni Single mama ninayetafuta huruma [emoji16][emoji16]
Anza na pikwaza mzee af unamalizia na dekio unakuwa umeua sana4 za kazi gani.. ni mwendo 👅👅👅 kwanza hadi kwenye 👁️👁️
tupo wote TBT napaonaga mbali .. kama hapo sinza najongea sema kwa machale.. kuna manzi niliikula hapo kwa mkopo.. najua ikiniona itanisimanga sanaa 🤣🤣🤣tbt kwangu hua imenikalia kushoto Sana.
Nimemuachia huyo Mwanaume tusije toana roho bure hali ya kuwa hata huyo bwana simjui anafananaje nae hanijui😁😁[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tena umwambie anayemkaza ampe kito**mo heavy mpk aje asimulie!!!
Yani asimuonee huruma shenzy
Hasa wanaume[emoji23],,, me hawanipati ng'ooo.Mpk wanaume wana vigroup wameungana na wadada kazi yao ni umbea tu!!! Wanakuja piem wanatongoza afu wanasambaza chat na pic zako!! Kuna wengi nimewaona huko piem wanaleta
Tena hii niko serious ladies kuweni makini piem mtaabika nawaambia