YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Haelewi, mpaka aje kusikia kituu[emoji1787][emoji23][emoji23]
Nisikie kitu gani?? Kwamba ushampa mimba wizo au??
Haelewi, mpaka aje kusikia kituu[emoji1787][emoji23][emoji23]
Mimi yalisha nikuta kuna member tulizoeana kweli matani sana na vikopa jukwaani kumbe ilikuwa kosa bila kujua hata hatukuwa tunatakana akaanza kupelekewa faili langu eti wananijua ni Single mama ninayetafuta huruma 😁😁Cheka tu ila usiombe yakukute [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
TushawakemeaPole ungewakemea ni mapepo hayo
We humu watu ni wakuda kichenzi halafu sijui niseme ni ukosefu wa kazi [emoji51]
pole dear ex 😬😬😬Mimi yalisha nikuta kuna member tulizoeana kweli matani sana na vikopa jukwaani kumbe ilikuwa kosa bila kujua hata hatukuwa tunatakana akaanza kupelekewa faili langu eti wananijua ni Single mama ninayetafuta huruma 😁😁
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi yalisha nikuta kuna member tulizoeana kweli matani sana na vikopa jukwaani kumbe ilikuwa kosa bila kujua hata hatukuwa tunatakana akaanza kupelekewa faili langu eti wananijua ni Single mama ninayetafuta huruma [emoji16][emoji16]
Sasa picha walipeleka pm kwa mtu ya Nini?Sasa wanapata nini?? Afu mingine midume kabisa nayo inashadadia umbea humu yaani tafrani aiseee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu tunazungumza mambo ya msiba
Na nilivyokuwa natia huruma kile kipindi [emoji3064]
Eti ulinisindikiza kuchukua cheti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wangejuaga.. mie hata kifanyio sina..
wakati wanatahili wakakikata chote.. hapa napiga tu makelele masaa yaende.. ila watu kumbe wanaona nipo serious [emoji28][emoji28]
We nae huo u ex umeanza lini shindwaaa😁😁pole dear ex 😬😬😬
Mimi yalisha nikuta kuna member tulizoeana kweli matani sana na vikopa jukwaani kumbe ilikuwa kosa bila kujua hata hatukuwa tunatakana akaanza kupelekewa faili langu eti wananijua ni Single mama ninayetafuta huruma [emoji16][emoji16]
😅😅😅 tupost basi zile tupo Arusha eeeh 🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zile picha za kahawa za Mlimani City zinachanganya watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawajui sisi jobless tunazurula
Mlimani City ndo sehemu ya kupata hewa safi,kiyoyozi cha bure.
wangejuaga.. mie hata kifanyio sina..
wakati wanatahili wakakikata chote.. hapa napiga tu makelele masaa yaende.. ila watu kumbe wanaona nipo serious 😅😅
Tushawakemea
Sema tukikaa tunacheka sana[emoji23]
Maskini yule dada wa watu ndio nilimuonea huruma zaidi[emoji1787]
Hata huyo National Anthem hamjui hata kwa picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]
muandishi wa makala sasa hivi yupo page ya kumi, baada ya kuona dear ex 😅😅We nae huo u ex umeanza lini shindwaaa😁😁
KumbeNilichokiona humu,kuna watu wa humu wana ka group huko PM,
Nilichukia siku ile 😁😁😁[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona?? Me nakwambia humu kuna watu wana stress sio bure
Eti single mama unatafuta huruma nyie khaaaaaa!!!
Elewa neno KIFUTA JASHO 🤣🤣🤣🤣Bora hata wangekuzushia iwe kweli itabidi National Anthem akupe kifuta jasho, kashfa kubwa hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😅😅😅 Pole sana chief.. ila tuishi nao mkuu.. hizo watu ni small mind ndio maana zakaa zinatengeza movie.. mie hayo matusi sijawai hata fanya nashangaa mkeka huo niliopita naoo.. ingekuwa kweli mbona ningevimbam.. inabidi usitishe msaada wa vochaElewa neno KIFINYIO 🤣🤣🤣🤣
pole chief kumbe watu wana wivu namna hii
Mimi pia na vivocha vyangu nimekua victim 😁
Nibalaa
sio mie ndio wanipe kifuta jasho 😅😅😅😅.. kupita mtu na dada yake bonge la fantasy ... sijui nilifanyia nini sasa wakati hata kadudu sina.. wana pepo hao watuBora hata wangekuzushia iwe kweli itabidi National Anthem akupe kifuta jasho, kashfa kubwa hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]