Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,433
Upemecanosuch a bummer
Upemecanosuch a bummer
Hivi Unajua akili haija kaa sawa mpaka Sasa hivi.Ishapita hiyo haijirudii zamu ya wengine wanaojiamini waje live tuwaone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We nawe uwe una tuliza shisha zako, kaambiwa mwingine;such a bummer
Kitengo Cha operation kipo mzee😃😁Hivi Unajua akili haija kaa sawa mpaka Sasa hivi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekutwa na lipi uduguuu? Hebu nijuzeee mwenzako, wee sio wa kunificha mie.Hawajanifikia ila wanaforce kunifikia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilichogundua hawali wakashiba
Kigoriii, welcome to selfika 😃😁Nakwambia simfahamu mtu humu ila wao wananifahamu mpaka figo zangu 🤷🏼♀️
Akija tu nakutagMwambie aje sasa nikiwepo [emoji3][emoji3][emoji3]
sio poa unachokifanya.We nawe uwe una tuliza shisha zako, kaambiwa mwingine;
👉Stimu Zina kupanda wewe, upemecano😁
Kuna mambo kwa mazingira yoyote, iwe kwenye real life au huku kwenye fake id mwanaume hapaswi kuyafanya.Ase muwe mnapotezea maneno ya humu wengine tuna yasikia tuna yaacha be patient show happy siku zote ndio silaa kubwa ya adui akusemea anataka kuona ukiumia na ukija mjibu hapa anasema yah kaumia kama nilivyotaka ila usipo jibu anaumia yeye take it ni ushauri tu
ningesema kitu, sema fvckDalot
Hii wiki ngumu sana humu ulinz muhimu😀Tusisahau kuimalisha ulinzi ,wa Uzi
Kipi hicho nilicho fanya, na Ume tumia mzani upi kupima???sio poa unachokifanya.
Wacha weh!Mm sitaki kusikiaga habar zangu wewe kama mtu kakuambia kitu kuhusu mimi kaa nacho uko uko usiniambie kabisa mkuu afya yangu muhimu sana kuliko hao waganga njaa mkuu 🥱
Vipi cheaf sijapata vocha yako mda sana
Kuna baadhi ya vitu maabara haiwezi amuaKitengo Cha operation kipo mzee😃😁
Umechachuka sikuhizi 😂😂Kuna baadhi ya vitu maabara haiwezi amua