Ngulii
Senior Member
- Jun 15, 2023
- 127
- 203
Kijiweni changu victory,boltKijiwe chako ni wapi? Au we ni Uber, bolt, in drive??
Kijiweni changu victory,boltKijiwe chako ni wapi? Au we ni Uber, bolt, in drive??
Glass yako yenye 🧊 🧊 iko hapa pembeni!☺️Ahaaa unanimaliza kabisa😊
Usipoona LIKE yangu inifikie hata PM 😌Baadae ntakuwekeaaa mwenyejii [emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
@AaliyyahOffer ya kunificha anayo Aaliyyah tu mkuu.
Mwaka huu nisipofumaniwa sijui😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwaka huu nisipofumaniwa sijui[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Mimi usipo kuwepo nakuchungia Mali yako.Mzee was hall 5 nimechoka kupigwaaa! mkuu.
Aaliyyah usije ukawa unanichezea akili yangu haha usije ukawa naweee Ni mzee mwezangu mwenye sharbu tu.
Hapa ntalia mno kuliko maelezo
Mimi lips zimenivuta ndomana nimetangaza nia!🤣🤣🤣Nimecheka Kwamba nilikutumia picha ya dada mwenye tako kumbe sio
😂😂😂Nimefanana na jirani yanguMimi lips zimenivuta ndomana nimetangaza nia!
Sasa Kama Ni zajirani! Sitakuelewa we mtoto.
Nikitoka hijja tuMkuu Mimi usipo kuwepo nakuchungia Mali yako.
Kila kitu kipo sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
wa kupuliza nimekukumbuka babu uko wapi wewe babaIvo humu akuna mdau wa mwaza nipo mpweke sana hakuna mdau nipatepo kampan leo mim napenda mziki hakuna kabisa familia ya selfika
Ntakusaka huko ushinabulandi utajuta!! tumechoka kupigwaa😂😂😂Nimefanana na jirani yangu
😂😂😂Ntakusaka huko ushinabulandi utajuta!! tumechoka kupigwaa
Aya kaniandalie kahawa! Baridi kali sana
😀Kha kuanza kunituma hata ya kutolea sijalaAya kaniandalie kahawa! Baridi kali sana