Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,229
Khaa 😂😂😂😂Bora maana hili lilinifanya kama mbibi flani hivi...😵😵
Eti mbibi 🤣🤣
Mbona kazuri
Tena uzuri ni kafupi,ila kangekuwa karefu hapo sawa.
Khaa 😂😂😂😂Bora maana hili lilinifanya kama mbibi flani hivi...😵😵
Yeah itakuwa hivyo aisee
Nikiingia sikai sana
Naendelea vyema vipi wewe?
Beach tutaenda ngoja nipone mguu uuh .
Ah jamani kuchokana wapi hiyoKuwa karibu kuna kumchoka. Awe mbali...kidogo. kuonana twice a month
Sent using Jamii Forums mobile app
Lile ua ndo linakyfanya uonekane mbibi achana naloBora maana hili lilinifanya kama mbibi flani hivi...😵😵
Asante dearUnaumwa mguu?
Pole
Ulifanyaje?
Pole sana mdogo wanguAsante dear
Eh niliteleza wakati navuka road aisee .. Nikajikuta niko chini gari hilo , namshukuru Mungu .
Hakuna kitu kinauma kama vidole ,nilivaa wigi nikavua ghafla sijui lilienda wapi 😂😂😂
Asante sana kakaPole sana mdogo wangu
Jana nikakuwekeaa picha yaniPole sana mdogo wangu
MarahabaAsante sana kaka
Mungu ni mwema sana
Habari ya leo,??
Shikamoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante dear
Eh niliteleza wakati navuka road aisee .. Nikajikuta niko chini gari hilo , namshukuru Mungu .
Hakuna kitu kinauma kama vidole ,nilivaa wigi nikavua ghafla sijui lilienda wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ah jamani kuchokana wapi hiyo
Basi muonane once a week na sleep over [emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu sana
Viatu aisee ni slippery ile mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole saana. Unamawazo gani????
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio aiseee why not
Pole saanaa. Inabidi uuchue mguu.Viatu aisee ni slippery ile mbaya
Nashukuru ilikuwa bararbara iliyotulia sio kama hii bagamoyo road .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio aiseee why not
Week mbili kama mmekuwa kaka na dada [emoji23][emoji23][emoji23]
Muenjoy wakati penzi liko la moto sio baade huko hauna memories zozote za mpenzi wako .
Asante sana
Umri hauchagui hujui nyie wazee ndo mpo romantic kuliko vijana .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisaa. Umri ukiwa umeenda Kama huu wetu Yani mwezi unapita bila bila. Normal kabisaaa.
Vijana wakina cocastic tumieni ujana vyedi
Sent using Jamii Forums mobile app