cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 187,999
Oooh bas sawaahKijiweni changu victory,bolt
Oooh bas sawaahKijiweni changu victory,bolt
Usijar mwenyejiii [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]Usipoona LIKE yangu inifikie hata PM [emoji18]
Kasema udouble na ya kutolea mnywanii unakwama wapiii nawee!!Kapachino nasemaje bila live video!! Si danganyiki!!
Antonnia mnywani huyu mtoto fanya kunipigia vetting embu.(Unajua Ni kazuri Sana)
Sasa Chino nisije ingia cha kike tena
Nakuja...Glass yako yenye 🧊 🧊 iko hapa pembeni!☺️
Aloooo umenishinda tabiaaa 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nimemaliza kula chikandi, uwiiiih
Ndugu naona mafusho yameanza kufanya kazi gundu bye bye😂😂😂😂Kasema udouble na ya kutolea mnywanii unakwama wapiii nawee!!
Wee zubaazubaaa utashangaa wana wanabeba mtrotro mkareee huyo usiseme sijakualert 😊😊!
Mkuu una taka kaburi lako liwekwe wapi🤔, Don't mess with ma girl AaliyyahMkuu Mimi usipo kuwepo nakuchungia Mali yako.
Kila kitu kipo sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu una taka kaburi lako liwekwe wapi[emoji848], Don't mess with ma girl Aaliyyah
Wasalaam😂😂😂😂 namshtua mshamba_hachekwi
acha basi😂
Weee hongeraaa yakoo dear mie bado nimedoda tyuuuuu sijui ndio uzee wenyewe huuu😁😁😊😊!!Ndugu naona mafusho yameanza kufanya kazi gundu bye bye😂😂😂😂
na kweli nimeshtuka😂Wasalaam😂😂😂😂 namshtua mshamba_hachekwi
Kaka sumbai naona ume Anza tabia ya unafiki Kama mshamba_hachekwi 🤔[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah.
Oyaaa Kapachino njoo hapa.
Mwenye kisu kikali ale nyama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huja nimisi ex baby😂🤣 DahanWasalaam😂😂😂😂 namshtua mshamba_hachekwi