cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 187,985
Mie kinachouzi home, siruhusiwi kuva kinjunga, naishia kuvaa tracksuit tyuuh. Nikivaa kinjunga bas siku hiyo mshua hayupo.Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo ya shemegi haya
Anasema vaa tujue moja
Kama fupi livuke magoti
Kama refu liguse mguu.
Siyo unavaa kama bibi.
Wakati mm nikiwa chini ya goti tayari ni fupi.
Yale nimenunua kipindi kile sijawahi vaa[emoji23]
Mafupi hatari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].