Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Utapazoea tu humuMmh mbn mie naona baridi hasa humu, naona maruwe ruwe
Lakini wewe ni mgeni mwenyeji humu .
Utapazoea tu humuMmh mbn mie naona baridi hasa humu, naona maruwe ruwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nimemaliza kula chikandi, uwiiiihNimemalizia kula mangatungu hapa nashushia na maji [emoji23][emoji23][emoji23]
kichwa kimevimba😂You look old enough to me
Na pia umetulia .
Huu uzi kwangu ni mpyaUtapazoea tu humu
Lakini wewe ni mgeni mwenyeji humu .
[emoji23][emoji23][emoji23] toka nje swampaaa, mbna watapatikana.Simuoni hata aje ndotoni nimzoom [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mambo ni kuyaacha tu .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan anakata tamaa mnoo.Anakata tamaa mapema sana huyu Bibie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani wee nimekununia, usinisemeshee na huo uongo wakoUweke bila ua tafadhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie napenda sana magoti yawe nje mda woteMwee
Ushamba mzigo[emoji23]
Mm ninazo ambazo hazipo juu ya goti wala hazifiki mguuni
Huwa navaa nyumbani,najiangalia wee naona nimependeza
Ila tege sasa[emoji38]
Nilivaa kamoja last weekend nilikuwa na appointment na mzungu mmoja,,angalau nilipendezapo..ila nivyotoka nikafunga mtandio.
Karibu sana , just flow na jinsi uzi ulivyo .Huu uzi kwangu ni mpya
Mtu wa indoors me[emoji23][emoji23][emoji23] toka nje swampaaa, mbna watapatikana.
Kesho nakupitia tuzururee town, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu wa indoors me
Nikitoka naenda na rafiki yangu .
Jioni ntakutafuta mrembo wangu usinuneKwani wee nimekununia, usinisemeshee na huo uongo wako
[emoji57][emoji57][emoji57]
Sasa ole wako, ntakubondaaa.Jioni ntakutafuta mrembo wangu usinune
Kesho nina appointment naye huyu mdogo wanguKesho nakupitia tuzururee town, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Town ipi hiyo ,Kesho nakupitia tuzururee town, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ZimefikaWasamiliee sana machalii ya hukooo!!!
Tuonane Mlimani jioniSasa ole wako, ntakubondaaa.
Sawa coca 😘Ukirudi unibebee zawadii [emoji8][emoji8][emoji8]
Wee kumbe, nilikua cjui thatha, bas nakuachiaaa.Kesho nina appointment naye huyu mdogo wangu
Ebu muache kwa kesho
SawaKaribu sana , just flow na jinsi uzi ulivyo .