Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nampenda mnoo Mello, yuko humble,
Nikijiskia namchokozaa wee bas, roho yanguu kwatuu
😂😂😂 Yuko poa sana sema mshawishi Na yeye awe ana selfika basi. Yuko humble mnooo naikumbuka ile JF ya miaka ya 2010 unampigia anakufuata kuja kukuelekeza enzi za Blackberry bold na curve😅
Mara mbili alinifuata pale Millennium Towers enzi za mgahawa wa Steers na juice 🥤 ananunua.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Yuko poa sana sema mshawishi Na yeye awe ana selfika basi. Yuko humble mnooo naikumbuka ile JF ya miaka ya 2010 unampigia anakufuata kuja kukuelekeza enzi za Blackberry bold na curve[emoji28]
Mara mbili alinifuata pale Millennium Towers enzi za mgahawa wa Steers na juice [emoji3047] ananunua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa, hebu kesho nimuambie anifuatenna mie kuja kunielekezaaa, woiiiiih.

Sasa a selfike na picha zake zimejaa mtandaoni kibao. Hivi hana fekero kweli analoswampia humu??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa, hebu kesho nimuambie anifuatenna mie kuja kunielekezaaa, woiiiiih.

Sasa a selfike na picha zake zimejaa mtandaoni kibao. Hivi hana fekero kweli analoswampia humu??
Yawezekana analo we never know 😂😂😂
Sasa hivi umuite akuelekeze nini ? Wakati kuna Technical staffs na hawafanyi kazi virtually kama enzi zile ? 😅
 
Haina majoto aisee mshamba_hachekwi
IMG_7299.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] G alinitorosha eti.
Chaa😂
G anatuharibia mtoto jamani.


Leo nilipanda na kaka ananukia huyo
Tulikuwa tunasubiri wote gari,ikachelewa sana,,ilivyofika tukapanda wote.

Mweupeee,msafiiiii
Mungu awabariki wanaume weupe wasafi.
Mnavutia kwa kweli.
 
Back
Top Bottom