Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa dear si muonekano wa nje ndo unaanza kukuvutia kwan au?
Kanoute yuko full package, [emoji8][emoji8][emoji8]

Niliwahi mdm FB, anaongea ki French ndo tulishindwana hapo, English haijui eti. Lol
Aisee naona ukishapenda hata kama mwanzoni ulikuwa unajishaua kuwa he's not your type blah mwenyewe unajilegeza kwake

Aisee kuna haja ya kujua lugha hizo ..
Downlad app ya duolingo uanze ongea kifaransa .
 
Aisee naona ukishapenda hata kmaa mwanzoni ulikuwa unajishaua kuwa he's not type , mwenyewe unajilegeza kwake

Aisee kuna haja ya kujua lugha hizo ..
Downlad app ya duolingo uanze ongea kifaransa .
Basi sasa nshakua na G wang, ila kweli mwanzoni unaweza usimpende ila kadri muda unazidi kusogea ndo mnaanza ku bond.
 
Basi sasa nshakua na G wang, ila kweli mwanzoni unaweza usimpende ila kadri muda unazidi kusogea ndo mnaanza ku bond.
Eeh kama wewe wakati ule na G
Si ilikuwa unawaza sijui yukoje

Love doesn't ask why , unakuta moyo umependa na umemuelewa jamaa ile mbaya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mello yuko cool sanaa, mie nampenda balaa.
Nikijisikia namchokozaa, utasikia "wee msumbufu ndo maana members wanakuogopa"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] abarikiwe huyu baba jamanii.
Alinizingua jana asubuhi na wewe bhana una badilisha sana namba sijui nina namba zako nne na hii tenaaa? 😂 😂
All is all the guy is 👍😉
 
Alinizingua jana asubuhi na wewe bhana una badilisha sana namba sijui nina namba zako nne na hii tenaaa? [emoji23] [emoji23]
All is all the guy is [emoji106][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nampenda mnoo Mello, yuko humble,
Nikijiskia namchokozaa wee bas, roho yanguu kwatuu
 
Back
Top Bottom